Gemmy
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 1,211
- 823
Kutounda Tume Huru ya Uchaguzi
Tume ya uchaguzi inatakiwa iwe chombo huru ambacho hakipo chini ya chama chochote
Inawezekanaje uchaguzi uwe wa kweli ,huru, na haki wakati hao watu wapo chini ya CCM.
Yaani hii nchi ina maajabu mengi sana
Mungu afungue fahamu zetu watanzania kuna watu wanishabikia CCM wakati hata kula, vaa matibabu vitu vyote hivi vinawasumbua