Unaweza kutueleza ni kwanini unaichukia CCM?

Unaweza kutueleza ni kwanini unaichukia CCM?

chukiiiiii zitawaueni ila CCM mtaiacha ikiendelea kutawala. hata mwenyekiti wenu aliishawaambia siasa sio chuki ndio maana leo mmemsajili fisadi na dakika tisini zikiisha mkiwa mmedundwa tatu bila hamtamuona tena na washangiliaji wake waliomfuata watawakimbia.
 
Nawachukia ccm kwa sababu wamewafanya wazazi wangu kuwa masikini.


Swissme
 
Mimi ni kwa jinsi walivyojitenga na wananchi wa hali ya chini na kujiona wao ni levo nyingine na siyo watz, ule umoja Nyerere aliuweka wao wameundoa kabisa... halafu kitendo cha kujipa madaraka kila siku ni wao wao, baba anampa mtoto, mtoto anamkaribisha ndugu, yaani nchi imeshakuwa na matabaka ya hali ya juu sana kati ya wenye nacho, wakati, na wasio nacho kabisa. wameleta hatari ya taifa! bora waondoke tupumzike bwana.
 
Huwezi kuwa mtawala mzuri kama sio kiongozi na kinyume chake. CCM ni chama tawala wakupasuka na apasuke.
 
Nawachukia ccm kwa sababu
umwinyi wa kutosikiliza maoni ya wananchi
kulindana
kutokuwajibika, kujituma au kufanya kazi kwa maslahi ya watanzania
kuendekeza kupokea na kutoa rushwa
kuiba mali za umma
kutokusimamia na kutumia raslimali za taifa kwa manufaa ya wote
 
CCM ndiyo namba wani, hapa naona mnajitekenya wenyewe mnacheka wenyewe.

Hiyo wala siwashangai ni madhara ya gongo.

Babu daktari wa kanoni padri Dr.W.Slaa kwanini kasusa?
 
chukiiiiii zitawaueni ila CCM mtaiacha ikiendelea kutawala. hata mwenyekiti wenu aliishawaambia siasa sio chuki ndio maana leo mmemsajili fisadi na dakika tisini zikiisha mkiwa mmedundwa tatu bila hamtamuona tena na washangiliaji wake waliomfuata watawakimbia.

Hata haya ulioyaandika hayatoki moyoni mwako bali ni taarabu tu. Viroho vinawauma basi tu huna namna. Sasa hivi ccm hawapangi namna yakwenda kupiga kampeni bali namna yakupambana na wapinzani pamoja na kutafuta namna yakuwazuia wanaorudisha kadi kwa kwenda mbele.
 
Tunaendelea kuangusha hiyo madhabahu!(ya kipepo)

Na misingi na ngome yote inaanguka km ukuta wa yeriko! In Jesus name!
 
1.CCM imewafanya watanzania Wajinga(imewanyima elimu bora)
2.CCM Imewafanya watanzania masikini wa kutupwa(absolute poverty)
3.Ufisadi uliokithiri
4.Huduma mbovu za afya.
5.Kijijini kwetu tuna share maji na wanyama kuna wazee wa zaidi ya miaka80 maji ya bomba hawayajui.
6.CCM IMEFANYA MADUDU MENGI SANA NA HAKUNA NAMNA NYENGINE NI KUWAONDOA TU WATAKE WASITAKE WATASOMBWA NA MAFURIKO TUUU HAKUNA NAMNA.
 
wauwaji kwa ajili ya madaraka..
refer mauwaji ya kisiasa ya January 27 2001 kisiwani Pemba.
taarifa kutoka kwa ndugu wa wahanga,zilieleza watu wasiopungua 70 walitandikwa risasi na kufa,huku mamia wakiwa wakimbizi nchini Kenya.
Hiyo ilikuja baada ya maskini hao kupinga tu matokeo ya uchaguzi uliogubikwa na utata mwingi.
unauwaje raia wako kwa kupinga matokea ya uchaguzi ?
 
Binafsi ukiniuliza swali hilo nitakujibu kuwa sababu kubwa ni mfumo wa Stakabadhi Ghalani ambao umetuathiri sana wakulima wa Korosho, Serikali ya CCM imekuwa haina msaada kwa wakulima wa korosho wakati wa maandalizi ya zao hilo, lakini jambo la ajabu ni kuwa serikali hiyo hiyo imekuwa ikiibuka na kuwakopa wakulima tena kwa Mabavu kwa kutumia mfumo wanaoita stakabadhi gahalani.

Baada ya kuchoshwa na hali hiyo wakulima wa Korosho waliamua kuanzisha umoja wao UWAKOTA ili waweze kuingia wenyewe mnadani lakini serikali ya CCM tena kwa kumtumia katibu wao Mwenezi Ndg Nape Mnauye waliahidi kupambana kuhakikisha umoja huo haufanyi kazi hususani baada ya kugundua kuwa unatoboa siri za bei halisi ya Korosho, hii ni dhuluma kubwa sana.

Nasema tena na tena DAIMA NITAICHUKIA CCM. Hebu nieleze wewe kwanini unaichukia CCM

attachment.php

Naichukia CCM kwasababu imetuletea vyama vya upinzani feki ambavyo hufaka siasa kwa maslahi ya CCM na sio walala hoi. Mfano, wamempeleka Lowassa vifasadi mkumbwa kugombea Urais upinzani.
 
chukiiiiii zitawaueni ila CCM mtaiacha ikiendelea kutawala. hata mwenyekiti wenu aliishawaambia siasa sio chuki ndio maana leo mmemsajili fisadi na dakika tisini zikiisha mk
iwa mmedundwa tatu bila hamtamuona tena na washangiliaji wake waliomfuata watawakimbia.

Tukutane 25 oktoba
 
Back
Top Bottom