Unaweza kutueleza ni kwanini unaichukia CCM?

Unaweza kutueleza ni kwanini unaichukia CCM?

Kurithishana madaraka I.e. Makamba, Mwinyi, Kikwete, Nyerere, Malima, to name the few. Ukisimama kugombania na hawa watu hata kama una sifa x 100 zaidi ya wao, you stand no chance. Kuhalalisha RUSHWA.
 
Jamani tembo/maliasili ni simulizi. Viongozi kuchukua/kugawana pesa kwa magunia/rambo, mikataba ya wazi kabisa ya kuuwa na kuimalizia shillingi, kuuwa kabisa elimu yetu, barabara zote kujengwa chini ya viwango kabisa, wazee waliotumikia taifa kukosa hata panadol na vipimo muhimu mahospitalini, tupilia mambo mafao yao, ya Dr. Ulimbika, Mwangosi, ....Viongozi kutowajali raia hata kidogo. Yaani weeeeee! Tuache utanii mara hii tumeamka, tunatembea/kimbia mchakamchaka wa kutisha. Mambo yatabadilika tu, mafurika yanatokea Milimani kaeni kando kwani hali ni mbaya kwa kweli.
 
ile ishu ya escrow rais aliichukulia simple sana. hapo ndipo nilipoichukia ccm, rais, serikal
 
Chama cha ccm ni mashetani,na wauaji wakubwa mimi nawachukia zaidi vya maneno ccm=mashetani
 
Kisa cha kuonewa masheikh na kufungwa rumande bila ya makosa...siitaki hata kuisikia..na lije tu hilo zimwi tusilo lijua
 
Yaan mm nina sababu nyingi ..kubwa ccm inaendekeza maslahi yao binafsi ......na kubwa ni pale walipotupilia mbali maoni ya wananchi...kwenye katiba mpya.....
 
Jinsi walivyojiaminisha kuwa watawachezesha watanzania ngoma waipendayo na hawataweza kujinasua, viburi, unafiki, uongo, loh hate them
 
Hospitali , miundo mbinu , elimu, madini , mali asili utwala mbovu hakuna hata nyanja moja ambayo wanawza kujiproud kuwa ipo sawasawa watanzania wanaishi maisha ya kimaskini wakati wana vitu ambavyo vinaweza kuwanufaisha maji watu hawana wakati tuna maji mengi ,umeme mgao hadi siku saba wakati hili kwa nchi kama rwanda ambao wamepata uhuru wao 1994 ni simulizi
tuna maliasili nyingi za kuweza kuwafanya waishi maisha ya afadhali
Vijijini watu wanishi maisha ambayo ukiwaona unaweza lia umskini uliokithiri ufukara ulio pitiliza
yote hii ni mfumo mbaya wa uongozi
Uongozi ambao hauweki maslahi mbele ya watu wake ,uongozi ambao umejaa dharau nakejeli
 
Mtanzania akiumwa ugonjwa ambao unaweza tibika nchi za nje basi aandike kifo kwasababu uwezo wake ni mdogo kuweza kuafford hizo gharama kitendo cha watoto kukalia matofali, kukaa chini kukumbatia kitabu kimoja watoto 7/10 ni vitu ambavyo haviingii akilini tuna misitu mingi uwezakano wa kutengeneza desk watoto wakakalia upo lakini wanaona wakazi gani ili mradi wao matumbo ya hadi vizazi vyao vya tatu yatafaidi .
Watu wa madini wanaumizwa 70% ni ya mwekezaji na mwenye nchi 30% na bado mchanga wanaondoka nao serikali imekaa kimya tuu
Hii ni serilaki dhaifu haiwezi kufanya maamuzi magumu na yenye manufaa kwa wananchi wake zaidi ni kubebana wao na kupongezana kwa machache ambayo wanayafanya ili kuwapumbaza wananchi
AMKA EEH TANZANIA!AMKA MTANZANIA
 
Yaan mm nina sababu nyingi ..kubwa ccm inaendekeza maslahi yao binafsi ......na kubwa ni pale walipotupilia mbali maoni ya wananchi...kwenye katiba mpya.....

Ndiyo watanzania tuone kama wao wanaona maoni yetu kazi gani kwasababu wanaamini wanaowaongoza hawaezi kufikiri vyema
Kama tungekuwa tuanafikiri vyema sidhani kama kuna watanzania wangekuwa wanaisupport CCM leo hii kwa kulinganisha na matukio yote ambayo wameyafanya hawastahili kuendelea kukaa madarakani
 
Back
Top Bottom