LURIGA
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 2,515
- 3,928
Siipendi kwa sababu ya laptop za walimu. Eti mkituchagua kila mwalimu atapata laptop mweee!. Deni tu la walimu wameshindwa kulipa miaka nenda rudi! mishahara tu ya walimu na stahiki zao nyingine ni maigizo tupu. Mtupe laptop wakati hata chaki shuleni hakuna, solar umeme hakuna, nyumba tunpanga kwenye magheto ya kijijini! Labda waseme dawati kwa kila mwanafunzi labda kiduuuuuuuuuchu naweza kuwafikiria!