Unaweza kutueleza ni kwanini unaichukia CCM?

Unaweza kutueleza ni kwanini unaichukia CCM?

mkuu kuuliza si ujinga , hapo chini ni wodi ya wagonjwa au ni kambi ya wakimbizi ?

Bora wangekuwa wagonjwa wakawaida ni mama wajawazito !!!wengine hao chini
 

Attachments

  • 1439572206593.jpg
    1439572206593.jpg
    10.5 KB · Views: 89
Niliichukia kipindi kile cha mgao wa umeme 2006-2007 nilipata GPA mbovu inayonikosesha kazi nzur kutokana na kuwa na mgao mkubwa wa umeme , pia wakatupa ahadi Richmond ingemaliza tatizo kumbe ndo masononesho zaid.
 
Ccm imepotexa weledi kuongoza. ITS TIME FOR CHANGE YES WE CAN WITH MH LOWASSA N UKAWA
 
Niliichukia kipindi kile cha mgao wa umeme 2006-2007 nilipata GPA mbovu inayonikosesha kazi nzur kutokana na kuwa na mgao mkubwa wa umeme , pia wakatupa ahadi Richmond ingemaliza tatizo kumbe ndo masononesho zaid.

Mkataba wa Richmond ulipata baraka toka kwa Tezi jike
 
Tanzania ni ya Tatu kwa idadi kubwa ya ng'ombe, ni nchi pekee duniani yenye tanzanite, ni ya nne kwa dhahabu, Ina. Mlima mrefu kuliko yote Africa, Ina uranium, Ina gas cubic meters trillion kibao, Ina almas, Ina mabonde mzuri ya kilimo, Ina Chuma, Imezungukwa na maziwa likiwepo ziwa kubwa kuliko yote duniani na lenye kina kirefu kuliko yote duniani Ina fukwe ndefu Africa, Ina mbuga nyingi za wanyama kuliko nchi yoyote duniani, Ina vyura ambao hawapatikani mahali popote duniani, Ina Aina nyingi za madini kuliko nchi yoyote duniani, Ina mbega wekundu ambao wanapatikana tz pekee, ni Tanzania pekee unaweza kuvuna zabibu Mara mbili kwa mwaka,

LAKINI NI NCHI MASIKINI DUNIANI.
 
Kauli ya bao la mkono ni ulevi wa madaraka sababu tumetangaziwa wapiga kura!

Yaani sijui kwanini viongozi wa CCM wana matusi hivi,Mara bao la mkono,Mara ukitaka kula sharti uliwe. Hivi tutawaficha wapi watoto wetu jamani? Mara waalimu wanaitwa Mbayuwayu.
 
Hata hao wakichaguliwa changamoto zilezile kila mmoja ni kuchumia tumbo lake na watoto wake tu
Mawazo ya namna hii huwa yanatoka kwa watu wazembe na wavivu wa kufikiri kwa kutumia ubongo waliopewa bure na Mungu au kwa watabiri wa mambo(Shehe Yahaya).Any Mabadiriko (change) impact yake inaweza kuwa hasi au chanya.whether the impact is positive or negative huwezi kuijua before change/mabadiriko kutokea.Hiki ulichokiandika hapa mkuu tunapashwa kukijadiri mwaka 2020 siyo leo.Pole sana kwa uvivu wako
 
Kwakweli mm naipenda sana CCM. Imetuletea maisha bora kwa kila Mtanzania, Foleni za magari Dar kww sbb kipato kimeongezeka hvy kila mtu anamiliki Gari. Imetuletea BRN, ambapo sahv ht km una wastani wa 25 ktk mtihani wa Taifa, unachaguliwa kwenda form 5. CCM imetuletea ajira nyingi km bodaboda, vyuo vikuu kila mkoa sasa hv ambapo hadi mwenye "S" Subsidiary 3 form 6 anapata mkopo na kujiunga Chuo Kikuu. Mikoa pia imeongezeka km Geita, Simiyu, Manyara, wilaya kibao km Nyang'hwale, Waging'ombe ili kuongeza ajira kwa wakuu wa wilaya, mikoa, na maafisa mbalimbali wa serikali. Hapa juzi tu tumeongeza majimbo ya uchaguzi ili kukabiliana na ukosefu wa ajira. CCM oyeeeeee, Aliselema. ...
 
Nina aleji na rangi ya kijani na njano, ESCROW na masandarusi pia maboksi!!
 
Masikini hawana nafasi tena kutokana na Rushwa. Uzalendo umetoweka katika jamii.Watu sasa hawapendi kazi za kujitolea tena hapa nchini.
 
twiga kupanda ndege,mtoto wa mkulu kubadilishwa na mikataba ya kumwaga,madeni yasioisha,kujilipa mishahara mizur wakat madawa hospital hakuna,wameshindwa kuleta maendeleo nchin wakat tuna maliasili za kumwaga,kulindana,kujuana,mtu kilaza lakn anapewwa uwazir kama mulugo n.k
 
Back
Top Bottom