Unaweza kuoa mwanamke aliyekuzidi umri?

Unaweza kuoa mwanamke aliyekuzidi umri?

Kwa maskini kunywa maji na mazoezi haviwezi mshinda. Natural fruits ni nzuri kwa kuleta ngozi ya mng' aro. Pia kutokuwa na stress usilale na kinyongo wala kisasi hutazeeka. Lakini kuna watu kila ukimuona kanuna na kukunja uso! Huyo lazima azeeke mapema.

hahaha sa si bora uoe mwanamke uliemzid umri, ili kuepusha msongamano, kuliko kumuoa mtu mzima af ugharamie gharama za kumfanya aonekane kigoli
 
Age ain't nothing lakini kwa swala la kuoa you gotta be concerned with age difference..!

Hawa wenzetu miili yao inapevuka na kukua haraka. Ni vizuri kuwe na gape kidogo, angalau miaka minne hadi kumi.

Miaka 10 unataka mkeo akuite baba??
 

Hahahahaha
crying-laughter-smiley-emoticon.gif
 
Kama unatake uzeekewe ndani oa msichana aliekuzid umri

siku hizi kuzeeka haraka sio wanawake tu, usijipe moyo ndugu yangu kuna wakaka ambao wamezeeka sana kuzidi hata wake zao inategemea jinsi unavyojiweka.
 
girfriend wangu kanizid miez 11 na siku zake. 2xeme mwaka mzima lakin mi ni bonge la man af nina miaka 18 tu na miez kazaa. lakin nikiwa naye huwez amin kama kanizid umri af 2napenda hatari .na 2nataka kuona .age Is Just A Number Conted From One To.....,

Wewe ni mtoto na haujawahi hata kupiga kura kura mada zingine kaa pembeni usome tu ujifunze.

Na huyo mwanamke uliyenaye kamwe hawezi kuja kuwa mke wako bado unahitaji kusoma na kujenga maisha yako, huu ndio ukweli mchungu unapaswa kuufahamu mapema.
 
Suala la kuzidiwa umri na mwanamke inategemea nyote wawili mnalichukulia vipi, kama mmeridhia haina shida..!

Kwa upande wangu nikisha kuzidi hata mwezi mmoja tuu nakuona hunifai.. Huwa nakuwa na amani sana endapo mwanaume atanizidi angalau miaka 3..!!

Mahusiano na mwanaume niliyemzidi umri naona kama ni UBAKAJI.. Lol
 
Hiyo ni zamani lakini siku hizi mwanamke akizeeka mapema ametaka au ana uwezo mdogo kiuchumi. Tafuten pesa wanawake kuleni vizuri kunyweni maji mengi mfanye mazoezi unagonga 50 na hakuna anayejua! Watu tuko na wajukuu na lakini mpk tuseme otherwise utafikiri bado tuko below 50. Pesa yako na kujipendezesha!

true dat mkuu baba angu yuko na 59 bt ukimuona ni kama 35,ni mtu wa ku bling kila tyme
 
Back
Top Bottom