ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,301
- 129,766
Miaka 10 unataka mkeo akuite baba??
Kwani miaka kumi mtoto wa kiume anaweza kuzaa?
..Ten yrs is a reasonable difference, kwa sababu sina uwezo wa kuzaa nikiwa na miaka kumi, sidhani kuwa ataniita baba...
Lakini mie nimesema angalau 4-10.