Heart
JF-Expert Member
- Nov 29, 2011
- 2,673
- 1,714
Mtume alikuwa Marioo sasa ulitegemea nini? wewe ulisikia wapi mwanamke mwenye umri mdogo afanye kazi ya kufuga limwanaume?
Marioo mwenyewe!
Mtume alikuwa Marioo sasa ulitegemea nini? wewe ulisikia wapi mwanamke mwenye umri mdogo afanye kazi ya kufuga limwanaume?
Hakuna shida inawezekana
Wanaume wengi wamekua wakisita kuoa wanawake waliowazidi umri, lakini napenda nitoe maelezo mafupi yanayo nifanya mimi nisione hilo kuwa ni tatizo.
Mara nyingi huwa tunaoa wanawake tunaowapenda. Hivyo unaweza ukakutana na mdada kwa mara ya kwanza akakuvutia kwa jinsi alivyo, kitu cha kwanza huwa ni pengine kutaka mahusiano lakini sio kujua umri, unaweza ukampata na mkawa nae kwa miezi kadhaa bila kuulizana umri.
Hoja nyingine ni kuwa kuna wadada wengine unakuta ana umbo zuri ambalo huonekana kama bado ana miaka 18 wakati kikweli ana 25 wakati huohuo mvulana wake ana umbo kubwa utadhani ana miaka 35 wakati kiukweli ana miaka 22.
Sasa hapa kuna ubaya gani kuoa mdada wa 25 baby face wakati mkaka una 22?
Afu mdada akikuzidi ni mtamu sana kitandani, anaheshima, ametulia, anajua majukumu yake, anajua ku care.
Mada hii simpigii debe mtu yeyote kwa sababu kila mdada ni mkubwa kwa mkaka fulani.
Yule mwanamke kwao uchumi ulikuwa uko vizuri, usidhani Marioo wameanza hivi karibuni tu wapo toka kitambo.
kivipi mkuu... funguka tu
Ila hakikisha ndugu hasa mawifi hawajui kuhusu tofauti zenu za umri...utaambiwa umerogwa...
kumekucha hubby ndo nn:
nilisema hv:
ukajibu hv :
unasema hubby aiseeeeee....!!!!
Miaka mitatu ni reasonable kabisa, tena nilikuwa natafuta aliyenizidi mitatu hawa wadogo wadogo naona hawajui maisha haha
age ain't nothing lakini kwa swala la kuoa you gotta be concerned with age difference..!
Hawa wenzetu miili yao inapevuka na kukua haraka. Ni vizuri kuwe na gape kidogo, angalau miaka minne hadi kumi.
mkuu kuna scenario tulikutana nayo km hii uliyoi comment ndio maana nilim quote
ha!! ha!! ha!!
mzima lakini na home wazima!!!
na yule nanihii je hajambo!!!wazima mkuu
na yule nanihii je hajambo!!!
hajambo mkuu
poa mwambie naniliu mwenzio anakupa hi,,........!!!!!