Unaweza kuoa mwanamke aliyekuzidi umri?

Unaweza kuoa mwanamke aliyekuzidi umri?

ndoa ya mwanamke aliyemzidi umri wanamme inadumu sana.

Halafu mwanamke aliekuzidi umri kimapenzi ni mtamu sana.Si unajua kuwa sehemu kubwa sana ya mapenzi imetawaliwa na hisia? Basi inakua raha sana kucheza na mkubwa wako kitandani.Umenielewa ninaposema kucheza? Fikiria mdada anapolalamika kuwa unamuumiza wakati ki ukweli haumii.hali anasikia raha.Au basi dada mkubwa ana appreciate kwako wewe dogo kwamba; aaah tam,aah tam aaah.mapenzi ni hisia.
 
Siri itakuwepo muda penzi likiwa jipya tu
likianza kuchakaa huyu huyu mme ndo ataanza maneno
"kunguru wa kike nilikuoa bahati mbaya ndo maana umenizidi umri, unanizeesha"
kama mme ndo alitongozwa tutajua, uuuh sie antenna tunazielekeza tu huko kupata maneno

Hahahaa umenichekesha sana mkuu.Lakini kwani hakuna ndo zenye migogoro ama zinazovufarakana za watu walooana ktk umri wa kawaida? tuliozoea? yaani mke mdogo kuliko mme,mme anapesa,madaraka,cheo kikubwa,mali na vitu vingine kumshinda mke lakini wanagombana kila siku,wanavurugana na hata ku divorce.hujaona ndoa za hivyo,tena ni nyingi kuliko hii.
 
Haya shemeji all the best usiache kunipa kadi.....
 
Haya shemeji all the best usiache kunipa kadi.....

Una masihara best,Kadi ya nini tena mkuu? Hii ni mada tu ilijadiliwa sana ofisini, I'm not doing research.To be honest I've 9yrs in marriage with 2kids.beleave it my friend.
 
Una masihara best,Kadi ya nini tena mkuu? Hii ni mada tu ilijadiliwa sana ofisini, I'm not doing research.To be honest I've 9yrs in marriage with 2kids.beleave it my friend.
Unavojitetea duh kama unapiga sound vile
haya poa nikajua ndo unajiandaa kuvuta goma lililokuzidi umri
 
Wanaume wengi wamekua wakisita kuoa wanawake waliowazidi umri, lakini napenda nitoe maelezo mafupi yanayo nifanya mimi nisione hilo kuwa ni tatizo.Mara nyingi huwa tunaoa wanawake tunaowapenda.Hivyo unaweza ukakutana na mdada kwa mara ya kwanza akakuvutia kwa jinsi alivyo,kitu cha kwanza huwa ni pengine kutaka mahusiano lakini sio kujua umri, unaweza ukampata na mkawq nae kwa miezi kadhaa bila kuulizana umri.Hoja nyingine ni kuwa kuna wadada wengine unakuta ana umbo zuri ambalo huonekana kama bado ana miaka 18 wakati kikweli ana 25 wakati huohuo mvulana wake ana umbo kubwa utadhani ana miaka 35 wakati kiukweli ana miaka 22.Sasa hapa kuna ubaya gani kuwoa mdada wa 25 baby face wakati mkaka una 22? Afu mdada akikuzidi ni mtam sana kitandani,anheshima,ametulia,anjua majukum yake,anjua ka care.Mada hii simpigii debe mtu yeyote kwa sababu kila mdada ni mkubwa kwa mkaka fulani.

Hakuna tatizo lolote mkuu
 
Bulldog
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: GKM
Age sio issue sana ila cha muhimu difference isiwe kubwa saana.. Yaani kama mwaka au miezi au mwaka au hata miaka miwili hivi sio mbaya...
 
Age ain't nothing lakini kwa swala la kuoa you gotta be concerned with age difference..!

Hawa wenzetu miili yao inapevuka na kukua haraka. Ni vizuri kuwe na gape kidogo, angalau miaka minne hadi kumi.

minne hadi kumi?
 
Hata hii ya mwanamke kumzidi mwanaume kipato watu huwa wanaigopa tu, jamaa yangu mmoja alikua wa kawaida kabisa namaana alikua hana pesa,lakini tulikua tunashangaa mdada mmoja mwenye nguvu za kiuchumi na anaetoka familia yenye ruzuku za kutosha alikua anmpenda jamaa yetu ni balaa,mdada alikua akimfadhiri jamaa kwa kila kitu.Hata hivyo bado alikua hana confidence.Kitu kilichotuvunja mbavu ni mdada alimpa hela kwa siri akalipe mahali(mahari) na hadi leo ni mke na mme wanapendana hatari.Hivyo inategemea kiwango mnachopendana.

dah . . . . . . . . . . What a Lucky!
 
Mimi wa kwangu ananizidi miezi minne wala sioni tatizo swala la umri sio lazma mwanaume amzidi mke wake bali ulikuwa ni mtazamo wa watu wa zamani kwa kuangalia mabadiliko ya miili ya wanawake (kuzeeka haraka) lakin cha muhimu kama unamtunza vizuri hatakaa azeeke akuache ukiwa bado kijana
KUMBUKA: Dunia inabadilika, zamani walikuwa wanawaachia wanawake kazi kubwa ambazo ndo ziliwafanya waonekane kuzeeka haraka
 
Mwanmke alonizid umri sioi.... pia mwene kipato au elimu kunizidi kuoa ntahitaj ushaur wa ukoo mzima asee wanawake wakiwa na kitu n tatizo sana
 
Back
Top Bottom