Hirosy
Member
- Mar 26, 2016
- 72
- 27
Mambo gani wanapitia?Wanawake wanapitia mambo mengi sana katika umri mdogo so ukioa mwanamke aliyekuzidi unaweza ukashindwa kumhandle
Mambo gani wanapitia?Wanawake wanapitia mambo mengi sana katika umri mdogo so ukioa mwanamke aliyekuzidi unaweza ukashindwa kumhandle
Dunia haina shida, wala mapenzi hayana shida, Tatizo ni wanadamu. Sema tu mapenzi hayaongei yangesema yanavyotushangaa na tunavyoyafanya yawe magumu wakati hayako hivyo. Hadi sasa hakuna definition ya mapenzi. Umri ni namba tu akili ndiyo kipimo. .pesa ni 22/7Wanaume wengi wamekua wakisita kuoa wanawake waliowazidi umri, lakini napenda nitoe maelezo mafupi yanayo nifanya mimi nisione hilo kuwa ni tatizo.
Mara nyingi huwa tunaoa wanawake tunaowapenda. Hivyo unaweza ukakutana na mdada kwa mara ya kwanza akakuvutia kwa jinsi alivyo, kitu cha kwanza huwa ni pengine kutaka mahusiano lakini sio kujua umri, unaweza ukampata na mkawa nae kwa miezi kadhaa bila kuulizana umri.
Hoja nyingine ni kuwa kuna wadada wengine unakuta ana umbo zuri ambalo huonekana kama bado ana miaka 18 wakati kikweli ana 25 wakati huohuo mvulana wake ana umbo kubwa utadhani ana miaka 35 wakati kiukweli ana miaka 22.
Sasa hapa kuna ubaya gani kuoa mdada wa 25 baby face wakati mkaka una 22?
Afu mdada akikuzidi ni mtamu sana kitandani, anaheshima, ametulia, anajua majukumu yake, anajua ku care.
Mada hii simpigii debe mtu yeyote kwa sababu kila mdada ni mkubwa kwa mkaka fulani.
natamani kukusalimia ila naogopa utakumbushiaNimeiona mda sana best..sasa mie na hizo shughuli hatuendani kabisa...hata sijui nianzie wapi aisee...!!!!!
Afu ungejua nilivyokuwa na plani na wewe? Sema tu hupendi lile kabila, teh!!natamani kukusalimia ila naogopa utakumbushia
suala la umri si tatizo unaweza oa,tatizo kipato,kama anakuzidi kipato hapo ni tatizoWanaume wengi wamekua wakisita kuoa wanawake waliowazidi umri, lakini napenda nitoe maelezo mafupi yanayo nifanya mimi nisione hilo kuwa ni tatizo.
Mara nyingi huwa tunaoa wanawake tunaowapenda. Hivyo unaweza ukakutana na mdada kwa mara ya kwanza akakuvutia kwa jinsi alivyo, kitu cha kwanza huwa ni pengine kutaka mahusiano lakini sio kujua umri, unaweza ukampata na mkawa nae kwa miezi kadhaa bila kuulizana umri.
Hoja nyingine ni kuwa kuna wadada wengine unakuta ana umbo zuri ambalo huonekana kama bado ana miaka 18 wakati kikweli ana 25 wakati huohuo mvulana wake ana umbo kubwa utadhani ana miaka 35 wakati kiukweli ana miaka 22.
Sasa hapa kuna ubaya gani kuoa mdada wa 25 baby face wakati mkaka una 22?
Afu mdada akikuzidi ni mtamu sana kitandani, anaheshima, ametulia, anajua majukumu yake, anajua ku care.
Mada hii simpigii debe mtu yeyote kwa sababu kila mdada ni mkubwa kwa mkaka fulani.
Huwa unanimaliza kwa hekima zako,kula tano basi.Ha ha pesa ni karatasi lakini huwezi ichana hata kama imechakaa vip?
Mkuu unaweza kuta mdada mwingine kaenda miaka mingi kwa sababu ya kujitunza kupita kiwango wakati wa usichana wake,sasa akaona nakosa mengi,akaja kuachia too late,huyu anakuja kukutana na dogo tu,afu akwa hajui mambo kabisa na dogo ndo akawa mwalimu wa huyu mdada, na mdada akaona kila kitu ni kigeni na halafu kitamu sana adi akadata.Wanawake wanapitia mambo mengi sana katika umri mdogo so ukioa mwanamke aliyekuzidi unaweza ukashindwa kumhandle
Nipe zawadi basi.Kaka una akili sana kwakuwa unafikiria na mpaka mwisho siyo mvivu.
Hii mada umeipeeeeeenda kisa umemzidi jamaa yako umri!!Hata mie umri sioni tatizo, ila kama kakuzidi kipato koh koh take care....
Una uhakika NA UNACHO KINENA???Hii mada umeipeeeeeenda kisa umemzidi jamaa yako umri!!