Unaweza kuoa mwanamke aliyekuzidi umri?

Unaweza kuoa mwanamke aliyekuzidi umri?

neno ndoa lina siri kubwa sana ndani yake kikubwa ni heshima,busara na upendo wa dhati,vingine vyote ni vigezo tu vya kukwepa suala la ndoa.
 
Hata hii ya mwanamke kumzidi mwanaume kipato watu huwa wanaigopa tu, jamaa yangu mmoja alikua wa kawaida kabisa namaana alikua hana pesa,lakini tulikua tunashangaa mdada mmoja mwenye nguvu za kiuchumi na anaetoka familia yenye ruzuku za kutosha alikua anmpenda jamaa yetu ni balaa,mdada alikua akimfadhiri jamaa kwa kila kitu.Hata hivyo bado alikua hana confidence.Kitu kilichotuvunja mbavu ni mdada alimpa hela kwa siri akalipe mahali(mahari) na hadi leo ni mke na mme wanapendana hatari.Hivyo inategemea kiwango mnachopendana.

kaka huu mfano wako ni 1 in a billion normally things dont work that way, kama ni ushauri unatakiwa utumie sample kidogo inayo happen mara nyingin kwenye jamii!!!

kuoa mwanamke aliyekuzid umri ni shida inaweza isionekane mwanzon lakin akishafikisha lets say above 30 na wewe uko chini lets say 28 kila mtu hawataitaj kuambiwa watanotice hiyo difference na situation itakua worse akifikisha 35 ataonekana kama maza ako for sure hasa kwa sie waafrika cosmetics ndo hizi fake kila duka ni kama ulilotoka!!!
 
Yaana unaweza kuta Mwanaume kamzidi Msichana umri, na akamuoa bila ya matatizo yoyote.ila linapokuja suala la Mwanamke kumzidi Mwanaume umri.litaongelewa na mpaka kila kiumbe kitajua kwamba Mwanamke ni mkubwa kuliko Mwanaume.Wewe Kama wewe unalichukuliaje hili,na wewe mwanamke,Yalishawahi kukukuta??MIMI BINAFSI SIONI TATIZO LOLOTE[emoji114]Umri just a number.
 
Wanawake wanapitia mambo mengi sana katika umri mdogo so ukioa mwanamke aliyekuzidi unaweza ukashindwa kumhandle
 
Back
Top Bottom