Unaweza kuamini ana miaka 61 huyu?

Unaweza kuamini ana miaka 61 huyu?

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
20,006
Reaction score
37,919
10502444_10152954691161320_31912376440615470_n.jpg


Huyu ni mama wa Jada Pinket mke wa Will Smith . Ana miaka 61. She looks younger than a million of young girls who can be even her grandchildren.... She is Vegy... Wadada acheni chips na soda plus michemsho. Fanyeni mazoezi kwa sana. Watu wamungu wanaangamia kwa kukosa maarifa.

Welcome to Linda Ikeji's Blog: Check out the body on Jada Pinkett-Smith's 61-year-old mother
 
Vipi umewashauri kwanza hapo family yenu?au wanafanana na huyo.


Swissme;
 
wengine hatunenepagi hata tufanye nini. so kiepe yai ndo mpango mzima....labda tukizaa.

halafu mimi sipendi abs!! yani nikiona pelvic bone ya mtu, its such a turn off!!
 
10502444_10152954691161320_31912376440615470_n.jpg


Huyu ni mama wa Jada Pinket mke wa Will Smith . Ana miaka 61. She looks younger than a million of young girls who can be even her grandchildren.... She is Vegy... Wadada acheni chips na soda plus michemsho. Fanyeni mazoezi kwa sana. Watu wamungu wanaangamia kwa kukosa maarifa.

Welcome to Linda Ikeji's Blog: Check out the body on Jada Pinkett-Smith's 61-year-old mother

Kwahiyi unamaanisha akija bongo anaweza akawa confuse wakina bro Hashim, kisha akapewa ushindi wa miss bongo? Aka waambia she is under 20!!! Alafu wakaamini kabisa !!
 
Wanaposema mazoezi kula vizuri huwa wanamaana yao
 
acha uongo bhana! jada pinket smith amezaliwa septemba mwaka 1971 so ana miaka 43 tu.!!
 
Kwahiyi unamaanisha akija bongo anaweza akawa confuse wakina bro Hashim, kisha akapewa ushindi wa miss bongo? Aka waambia she is under 20!!! Alafu wakaamini kabisa !!

wa igbo wanasema " NDINACHI" yaani "exactly!"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom