Unaweza kuamini ana miaka 61 huyu?

Unaweza kuamini ana miaka 61 huyu?

Na huyu ni Tina Turner. Ana umri wa miaka 75 (alizaliwa November 26, 1939).

Tina_Turner_2008.jpg
 
Na huyu ni Tina Turner. Ana umri wa miaka 75 (alizaliwa November 26, 1939).

Tina_Turner_2008.jpg

Sasa hivi makunyanzi yameanza!! Powder zinaficha mambo mengi. Hii picha ya lini? Weka yake anayoswim tumuone na umbo lake asilia kama huyo juu.
 
Kwa bongo, hivi Kopa ana umri gani? Nimeanza kumsikia toka niko praimari!
 
Inategemea unajiweka namna gani na maisha yako ukimwangalia Sir Cliff Richard ana miaka 70 katika picha hii ya juzi juzi tu 1417349795315.jpg
 
Asee nazeeka fasta sana duh!! Na nikisema nipige chuma mara kifua kinajazia upande mmoja, Jogingi vinajazia visigino badala ya misuli, pushapu ndo balaa hukawii kujazia maka.lio. Acha nizeeke tu.
 
Pharell utafikiri ana miaka 24 bado jank.

I like this guy 4 real.. He cried on Oprah show baada ya kuonyeshwa video mbalimbali za watu waliocopy ''HAPPY" Anasema hakutegemea kama angegusa wa2 wengi kiac hicho..
 
wengine hatunenepagi hata tufanye nini. so kiepe yai ndo mpango mzima....labda tukizaa.

halafu mimi sipendi abs!! yani nikiona pelvic bone ya mtu, its such a turn off!!

kumbe tuko wengi eeeeh mi hata nijiachie vipi sinenepi labda hapo badae
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom