acha uongo bhana! jada pinket smith amezaliwa septemba mwaka 1971 so ana miaka 43 tu.!!
Soma vizuri kilichoandikwa kwenye uzi
acha uongo bhana! jada pinket smith amezaliwa septemba mwaka 1971 so ana miaka 43 tu.!!
we lazima utakuwa na kitambi wewe
Huyu hata ukienda kumtambulisha kwa wazazi au masela hawagundui kama upogo na kikongwe.duuuu
Swalaa sio wazazi, papuchi lake tayari limeanza kudondosha vinyama nyama.
Pharell utafikiri ana miaka 24 bado jank.
Sorry Wadau Kwani Will Smith yeye ana miaka mingapi?
Usiamini wachina wewe huyu atakwa feki tu huyu![]()
![]()
Kiboko ni huyu mchina mwigizaji Liu Xiaoqing ana miaka 64 sasa hivi kazaliwa
30 October 1950
Pamoja na hayo bado mtoto anaonekana mbichi hafanani na umri wakeSasa hivi makunyanzi yameanza!! Powder zinaficha mambo mengi. Hii picha ya lini? Weka yake anayoswim tumuone na umbo lake asilia kama huyo juu.
![]()
Kiboko ni huyu mchina mwigizaji Liu Xiaoqing ana miaka 64 sasa hivi kazaliwa
30 October 1950
acha uongo bhana! jada pinket smith amezaliwa septemba mwaka 1971 so ana miaka 43 tu.!!
46 ....Sorry Wadau Kwani Will Smith yeye ana miaka mingapi?
Ha ....
Umeona e....duuuuu aiseee natamanii ningekua n kamwili kama hakooo daaaah