Unaweza kuamini ana miaka 61 huyu?

Unaweza kuamini ana miaka 61 huyu?

Jamani tyra tuwekee picha ya mama kim kardarshian
 
10502444_10152954691161320_31912376440615470_n.jpg


Huyu ni mama wa Jada Pinket mke wa Will Smith . Ana miaka 61. She looks younger than a million of young girls who can be even her grandchildren.... She is Vegy... Wadada acheni chips na soda plus michemsho. Fanyeni mazoezi kwa sana. Watu wamungu wanaangamia kwa kukosa maarifa.

Welcome to Linda Ikeji's Blog: Check out the body on Jada Pinkett-Smith's 61-year-old mother

Mwenzenu akili yote imeishia hapo chini ya kitovu.
Loohh......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom