Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,761
Tatizo ukizidisha mazoezi, unakomaa!
umeona eeeh
Tatizo ukizidisha mazoezi, unakomaa!
acha uongo bhana! jada pinket smith amezaliwa septemba mwaka 1971 so ana miaka 43 tu.!!
View attachment 206808kama hawa hapa.
Si umuangalie kwenye wimbo wake wa bcoz am happy jamani.. ya nini kujichosha
kumbe tuko wengi eeeeh mi hata nijiachie vipi sinenepi labda hapo badae
tuwekee foto ya huyo Pharell Williams
we piga zoezi wee hata ulale gym, utaishia kukomaa tu na kuota vigimbi na kupinda mgongo mumeo akukimbie. Kuwahi au kuchelewa kuzeeka pamoja na zoezi inategemea na maumbile na sababu za kurithi. Hivi pamoja na mazoezi, Wayne Rooney unategemea atakuwaje at 45? By the way hawa wenzetu wa majuu kuna clinic kibao zinafanya operesheni za face uplifting.
Huyo hapo
![]()
![]()
Kiboko ni huyu mchina mwigizaji Liu Xiaoqing ana miaka 64 sasa hivi kazaliwa
30 October 1950
kuna harusi moja nilihudhuria mawela mwezi wa sita mwishon, muoaji naambiwa alikuwa na twenty nine lakini ukimuangalia yaan kama katoto flan, sasa kuja onyeshwa mdogo wake wa mwisho mbona nilichoka, yaan kama dadake aliemzidi miaka kumi kumbe bwana harusi ndo kamzid miaka kama kumi na mbili, sasa kituko ilikuwa babake na mamake, baba mzee kinoma ila mama saizi ya dadake anaemfuata yaan kama miaka 30 wakat nambiwa miaka 60
haha haa pinda ana sura mbaya jamani daah.