Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,573
- 56,617
Ntakua room nacheki game, saiv ni Burkinafaso Vs Sudan baadae Ivory Coast Vs Gabon.
Karibu Sana rafiki!Karibu kabisa na nilipo nakuja hapo tujifunike gubigubi kwenye shuka
Nije na nini ?Karibu Sana rafiki!
Nihamie wapi rafiki?Toka huko porini, huko wanatakiwa waishi kenge na fisi tuu
Thank u Papa,nitalala Tu babaangu kwa usalama wangu na mipango yangu mizuri ya baadae vijana wa hovyo wasije wakaniharibia!Bora ulale mama mwaka mpya watu wa hovyo wenye nia ovu hutoka kwa wingi kufanya matukio ya hovyo
Hapo sawa , mwaka mpya kwa mtu wenye akili timamu anatulia tu na familia yake nyumbaniThank u Papa,nitalala Tu babaangu kwa usalama wangu na mipango yangu mizuri ya baadae vijana wa hovyo wasije wakaniharibia!
Jipulizie ka pafyum kanakonukia taratiibu Yaani vile unakua unamtamanisha mtu akunuse!Nije na nini ?
Hayo mambo yangu kabisa usiwazeJipulizie ka pafyum kanakonukia taratiibu Yaani vile unakua unamtamanisha mtu akunuse!
Ni kweli Leo Sio siku ya kutoka,wajinga wengi hasa Barabarani!Hapo sawa , mwaka mpya kwa mtu wenye akili timamu anatulia tu na familia yake nyumbani
Eat sum more..... Biscuit zangu pendwa!Hayo mambo yangu kabisa usiwaze
Zawadi je unataka ipi
Wee yako ushaweka???
Leo mademu wakali wote kanisani itabidi namimi niendeTunaenda kanisani
Nipo
Nipo good naona Upo kimya kuna shida yoyoteNipo salama vipi wewe?
WalaaNipo good naona Upo kimya kuna shida yoyote