Unaukaribishaje mwaka mpya? Unaukaribisha ukiwa wapi?

Unaukaribishaje mwaka mpya? Unaukaribisha ukiwa wapi?

Uzee huo hata mimi hivyo hivyo. Miaka 10 au 15 nyuma saa hizi ndio najiandaa kutoka kurudi kesho alfajiri
Nipo ndani tangu asubuhi, hata sielewi kama kuna sijui kitu gani!Halafu asubuhi unasikia matukio ya vifo vya toyo, magari na kuumia kibaoo.Maisha hayo mimi hapana kabisa.
 
Back
Top Bottom