Kama unashindwa kupata X(twitter) login ni kwamba access imekuwa denied na wenye mamlaka.Download Orbot app kwenye playstore(kama huwezi kuafford paid VPN) hii ni free.Ukishafanya installation nenda kwenye choose app,add X na app nyingine unazopenda then activate Orbot utakuwa huru.Lakini home boy mambo ya zinaa acha nayo.