asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,029
hahahaha bila hiyo kiwango cha uchezaj kinakuwaje
Dont try it at home.........
hahahaha bila hiyo kiwango cha uchezaj kinakuwaje
what abt exprs urslf?
Dont try it at home.........
Hahhhhhaa zinakera hata mi ni mfuasi wa nyama nyama kwani tutafikisha miaka miaa bwana!!
Kwanza virutubisho vyote vinabaki kwenye ndom
yani ni sawa na kula mchicha uliochemshwa masaa mawili...
Aiseee! Kwahiyo watu hawaogopi magonjwa kabisa kwenye michepuko? Au wanajitetea hapa ili wenza wao wasi washitukie?
mi huwa sichagui nitakayoikuta dukani muda wa tukio nachukua
Mimi natumia Power Play ni nzuri sana wala haina mafuta mengi..jaribu utaniambia.
nawe bhana! Wataka kunifurahisha tu! Kwahiyo hata kama ime~expire unatumia tu!
Wadau,
Kuna baadhi ya condom zina mafuta sana, nahc kama c nzuri kwangu coz nikiivaa tu nasikia hata misisimuko inapungua. C vema kuitaja nisije nikaharibu biashara za watu ila kwa kuwa nimeshaeleza zina mafuta mengi, nitakuwa nimeeleweka. Nishirikishe aina unayotumia wewe nijaribu kubadili aina.
Ahksante sana.
Mwanaume wa ukweli hutumia.........
Ila kiukweli ndom zinaboa jamani,..
kweli? Nasikia zingine zinaleta fungus na hata UTI
bora ku-abstain tu