Unatumia CONDOM ya aina gani isiyokupa karaha?

Unatumia CONDOM ya aina gani isiyokupa karaha?

ziko zile za mabati wanatengeneza mafundi koroboi naskia ni nzuri sana
 
Zenye mafuta mengi huku kwetu huwa tunachemsha ili kuleta radha nzuri. Zikiiva vizuri basi ukila moja tu unashiba na hata maji utaomba. Halafu kwetu zinastawi sana kipindi hiki cha mvua. Hakika kondom ni tamu sana ukichanganya na viazi.
 
Back
Top Bottom