Unatumia CONDOM ya aina gani isiyokupa karaha?

Unatumia CONDOM ya aina gani isiyokupa karaha?

Nikushauri tu kutumia natural birth control methods...piga safe days na uwe na uwezo wa kuzuia na kumwaga nje on danger days.

Kama unatumia ndom kuzuia magonjwa umeumia!!!!

So far sijaona ndom nzuri... #experience

Calendar sawa, ila kiwithdraw ni kazi sana.
 
Nyama kwa Nyama tu! nikivaaga zinanicheleweshea mzigo kushuka hadi dem anakasirika! kama vip pimeni kwanza then ngozi kwa ngozi.

ninyi mnaotujazia watoto wasio na malezi mitaani
 
Kuna zile zenye harufu za matunda.....mmmhhhh sizipendi kabisa, zinakuaga na harufu mbaya kweli

Tena mbaya sana, ukimaliza ila wkt dushelele ipo high huwezi sikia harufu
 
Rough rider.. Habari nyingineeeeeeeeee, hii ki2 ni tamu...
 
Back
Top Bottom