Unataka Upate Pesa? Tumia njia hii hapa

Unataka Upate Pesa? Tumia njia hii hapa

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,091
Reaction score
34,897
Je unataka pesa kwa njia uitakayo? huu ni wakati wako sasa kama uko tayari fanya yafuatayo bila uoga na mashaka ya aina yeyote hatua ya kwanza, tafuta kitambaa cheupe mita moja kitandike kati sakafu ndi ya chumba

kimoja kama mfano huu hapa chini. Nyunyuzia poda hiyo katika kitambaa chote kisha chuku noti ya pesa ya nchi yeyote iweke katikati ya kitambaa hicho kisha idondodhee tone moja la mafuta ya shantar. washa mshumaa wa

rangi ya njano mbele ya kitambaa hicho kisha nuwia utakacho huku umefumba macho takribani dakika7 kisha fumbua macho yako utaona maajabu.


mafuta ya shantar.jpg


HAYA NDIO MAFUTA YA {Shantar} pia yana matumizi zaidi kwa wanaoyatambua wanajua mafanikio'

pesa.jpg
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Hapana tata.

Mkurya na majini wapi na wapi!!?

Hivi vipaji vya watu bwana, tuwaachie wa mwambao!

Mimi labda nipatiwe ng'ombe 50 ke, 15 me nikafuge.

ova.

Haha, muraaa. Unaogopa majini……?? Usijepeea ng'ombe ukaenda kuolea. Halafu hebu njoo chemba kidgo kuna kitu nataka unipatie
 
Kwa Anaye Taka Mafuta ya Shantar awasiliane na Doctor Tiba Mbadala 77 namba zake za simu hizi hapa nambari 0 757407777 au 0752761576.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
.....utasikia mafuta haya ya shantar yanapatikana kwa bei nafuu ...!
Kwa mawasiliano piga +.... ....

Kwa Anaye Taka Mafuta ya Shantar awasiliane na Doctor Tiba Mbadala 77 namba zake za simu hizi hapa nambari 0 757407777 au 0752761576.
attachment.php




Duh...."Upendo" mkubwa huu! Ningekuwa mimi nna hayo mafuta ningepanga ghorofa zima karibu na hazina pale.......na simuuzi mtu yoyote hayo mafuta!
 
Back
Top Bottom