TATA MKURIA
JF-Expert Member
- Apr 6, 2015
- 314
- 441
Inaonekana muuza mafuta ameshindwa kupata hizo hela kwa sababu amekosa hela ya poda na kitambaa cheupe... Hivyo basi inabidi auze mafuta kwanza! Au unaonaje mkuu... Teh teh teh!Kuna uongo mkubwa na uongo mdogo.
Sasa naona huu ni uongo mkubwa.
Ungekuta ni kweli huyo muuza hayo mafuta asingetaka kuuza maana angeyatumia ili apate fedha nyingi kuliko kujikongoja kuuza mafuta