Unataka Upate Pesa? Tumia njia hii hapa

Unataka Upate Pesa? Tumia njia hii hapa

mmmmh sasa hizo hela zinatoka wap? na kiasi gani na je haziwezi mwaga damu kweli kwa staili hii jamani nani angekuwa maskini,Kiongozi mzizimkavu wewe umeshafanya hili zoezi na umepata kiasi gani na madhara yake ni nini isije ikawa zinatoka kwa jirani pale 666 karibu na 999.Jamani mtatuuwa mwaka huu
 
Mbona kila mtu angekua tajiri.
Anyway...tupe na side effect if any....

ujinga wa watanzania ni mtaji safi sana, hapo jamaa atapiga pesa za kuuza mafuta ya shanta.
 
ila mlango msifunge jamanii....kikisanuka tu lala mbele

au tumuulize kabisa mzizimkavu JE?? KATIKA HILO ZOEZI KUNA BUTTON YA UNDO
 
Kwa Anaye Taka Mafuta ya Shantar awasiliane na Doctor Tiba Mbadala 77 namba zake za simu hizi hapa nambari 0 757407777 au 0752761576.
attachment.php



Mkuu unajua mimi nakuheshimu
Sasa mbona unatupa wasiwasi?
 
Ngoja nikanunue na viroba kabisa vya kuhifadhi manoti, hahaaaaaaaaaaa, hizi sayansi nyingine ni majanga
 
Duh...."Upendo" mkubwa huu! Ningekuwa mimi nna hayo mafuta ningepanga ghorofa zima karibu na hazina pale.......na simuuzi mtu yoyote hayo mafuta!

Hahahahaaaaaa! Mkuu acha uchoyo. Najua ukipata ayo mafuta hela haitakuwa tatizo kwako. Mkuu ulipaswa utugaie tu or utuelekeze namna ya kuyatengeneza.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Hahahaaa, keli hii Dunia ina mambo (is full of surprises)!
Ina maana huyu Dr. Tiba Mbadala 77 anawauzia watu mafuta ili wapate hela!!! Sasa yeye anayauza ya nini!!! Aish, mbona mimi sielewi hapa!

Nimekuelewa mkuu,ila Mkuu Mzizi Mkavu hajasema kama Mtaalam anauza.Jaribu inaweza kuwa ni project yake ili watu watajirike
 
hii jf ina mambo nazidi kuamin huku tunaishi na mapepo na majinii..hahaaa tumefundishwa kupaa..then kupata mihela ya bure cc miss chagga njoo tuvunee mi pound
 
hii habari uliileta hapa2013 ila ulitoa jinala shehe na ulisema ni pesa za majini,camon man,damnit


  • user-offline.png
    MziziMkavu

    2nd October 2013 07:09
    #15 ​
    JF Senior Expert MemberArray


    Join Date : 3rd February 2009
    Location : European Union
    Posts : 35,606
    Rep Power : 429504184
    Likes Received21518
    Likes Given66730​


    [h=2]
    icon1.png
    Re: Nimeziokota ufukweni mwa bahari je kuna mtu aliyeziangusha hizi pesa?[/h]
    Majini ya Utajiri.

    Utajiri ni kitu binadam yeyote angependa kuwa nacho awe mdogo au mkubwa,awe mzee au kijana na awe mfupi au mrefu au wakutoka kabila lolote lile.

    Utajiri ni kitu wengi wamezunguka kukitafuta kwa njia nyingi kwa nia ya kuboresha maisha yao na ya wapenzi wao wakaribu.Zipo njia nyingi ambazo wengi wamezunguka kutafuta ikiwemo njia hii tutakayo zungumzia katika mada yetu ya leo.

    Utajiri wa majini upo katika njia nyingi na nyingi ya mbinu hizo zikiwa zenye madhara ya uhai kwa mhusika au hata watu wake wa karibu.

    Utajiri wa majini unaotufungulia mada yetu ni utajiri wa ndoa kati ya binadamu na majini.Utajiri aina hii mara nyingi hutafutwa na ni utajiri usio na madhara masharti yake ukiyafuata.Utajiri wa mali aina hii unatengezwa na mtaalam ambaye hukupa mivuto mikali ya majini aina fulani ambao mwishowe huyapata na ukapata jini ambalo litakushawishi kindoa.Jini huyu mara nyingi huja kama binadam na huishi maisha kama binadamu ikiwa vigumu sana kumtambua kama ni jini.

    Njia ya pili ni njia ya mtaalam kukukabidhi jini ambalo litafungua milango yako ya kipato na kuwa tajiri kwa muda mfupi.Jini huyu hawekwi kichwani kwa hiyo anakuwa hana madhara isipokuwa unapo mgeuza na kukiuka mikataba mulioekeana.

    Njia ya tatu ni majini kusimamia biashara ulio nayo.Njia hii inamuhitaji mtaalam kukupa majini hawa ambao ndio wanasimamia biashara na kukupa faida ya ajabu.Masharti yake mara nyingi huwa si magumu.

    Njia ya nne ni njia ya majini kukuletea pesa au kukupa mali.Njia hii imejulikana kuwa njia hatari kwani huhitaji makafara ya binadamu kila mwaka.Njia hii mara nyingi hukufanya ukawa mgumu na bahili na mali kutoionea raha.

    Njia ya mwisho ni njia khairati ambapo njia hii ndio njia ambapo ni aghlabu kuipata.Njia hii hutengezewa muislamu pekee na ukawa kama ulioajiriwa.Njia rahisi ukifuata masharti.

    Hizo ndizo njia za kidogo zilizopo kwa wanaotafuta utajiri.






    ukihitaji majini ya Utajiri piga simu hii hapa 0655666673 SHEIKH TARIQ ABDUL-AZIZ​





    ​

 
Nilipata hilo wazo nikaamua kuchokoza kwa kutumia neno "kuuza" ili tupate taarifa sahihi. Lakini pamoja na yote; iwe kwa kuuza au bure, huyu mtu ana roho nzuri sana ya kuwapatia watu hela!!


Nimekuelewa mkuu,ila Mkuu Mzizi Mkavu hajasema kama Mtaalam anauza.Jaribu inaweza kuwa ni project yake ili watu watajirike
 
Je unataka pesa kwa njia uitakayo? huu ni wakati wako sasa kama uko tayari fanya yafuatayo bila uoga na mashaka ya aina yeyote hatua ya kwanza, tafuta kitambaa cheupe mita moja kitandike kati sakafu ndi ya chumba

kimoja kama mfano huu hapa chini. nyunyuzia poda hiyo katika kitambaa chote kisha chuku noti ya pesa ya nchi yeyote iweke katikati ya kitambaa hicho kisha idondodhee tone moja la mafuta ya shantar. washa mshumaa wa

rangi ya njano mbele ya kitambaa hicho kisha nuwia utakacho huku umefumba macho takribani dakika7 kisha fumbua macho yako utaona maajabu.



1044070_633789746649413_1778236045_n.jpg


HAYA NDIO MAFUTA YA {Shantar} pia yana matumizi zaidi kwa wanaoyatambua wanajua mafanikio'
attachment.php



Mkuu, hizo pesa zinatoka wapi na zinaletwa na nani?
 
Vijana wa nchi bhana,
Hawataki kuumiza kichwa,
Wanataka mambo rahic rahic tu!!
Ndiyo mana hata urais kila mtu anaona
Zamu yake!
 
Daadek natangaza nia ya urais kesho
Hela za kuhonga watu nimeshazipata...

Wasio soma ni chakula cha wasomi
 
ila mlango msifunge jamanii....kikisanuka tu lala mbele

au tumuulize kabisa mzizimkavu JE?? KATIKA HILO ZOEZI KUNA BUTTON YA UNDO

nimejizuia kucheka nimeshindwa, button ya un-do!! au kurud back kweny real life!!!! teh! teh! teh! ingekua raha sana.
 
Kuna uongo mkubwa na uongo mdogo.
Sasa naona huu ni uongo mkubwa.

Ungekuta ni kweli huyo muuza hayo mafuta asingetaka kuuza maana angeyatumia ili apate fedha nyingi kuliko kujikongoja kuuza mafuta
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom