Unataka Upate Pesa? Tumia njia hii hapa

Unataka Upate Pesa? Tumia njia hii hapa

Hahahaaa, keli hii Dunia ina mambo (is full of surprises)!
Ina maana huyu Dr. Tiba Mbadala 77 anawauzia watu mafuta ili wapate hela!!! Sasa yeye anayauza ya nini!!! Aish, mbona mimi sielewi hapa!

Kwa Anaye Taka Mafuta ya Shantar awasiliane na Doctor Tiba Mbadala 77 namba zake za simu hizi hapa nambari 0 757407777 au 0752761576.
attachment.php



 
Dah mm nimejaribu zimekuja dolari za zimbabwe nyingiiiiii!.:-(
 
Mtu unaweza kuja kuwa mchawi bila ya kutarajia, vitu vingine siyo vya kujaribu
 
Jamanijamani!, yakweli haya?
Hapo unafanya hayo mara ukifumbua macho, bonge la joka mbele yako! sijui utakimbilia wapi!
 
Mafuta ni bure,nimewasiliana na Dr.yeye hana shida na hela maana anazo zaidi ya 5 ya alizo nazo billgate.anataka awasaidie watanzania wenzake
 
nitashiriki tu kama akiniambia hizo pesa zinatoka wapi ili nichukue tahadhari mapema.
Kwa Anaye Taka Mafuta ya Shantar awasiliane na Doctor Tiba Mbadala 77 namba zake za simu hizi hapa nambari 0 757407777 au 0752761576.
attachment.php



 

Similar Discussions

Back
Top Bottom