Unataka Upate Pesa? Tumia njia hii hapa

Unataka Upate Pesa? Tumia njia hii hapa

Ndugu yangu,acha kupoteza watu.Acha hiyo mambo mara moja.Huo ni USHIRIKINA wa wazi.Shughuli za mashetani hizo.
 
Kuna uongo mkubwa na uongo mdogo.
Sasa naona huu ni uongo mkubwa.

Ungekuta ni kweli huyo muuza hayo mafuta asingetaka kuuza maana angeyatumia ili apate fedha nyingi kuliko kujikongoja kuuza mafuta

Hili ni tangazo la mafuta tu wala hakuna zaidi. Utajiri ungekuwa rahisi kiasi hiki basi wale omba omba wasingekuwepo mjini
 
hii jf ina mambo nazidi kuamin huku tunaishi na mapepo na majinii..hahaaa tumefundishwa kupaa..then kupata mihela ya bure cc miss chagga njoo tuvunee mi pound

kupaa gan? Astral projection / kutoka nje ya mwili au?
 
kwa author wa hii thread

1.unaweza kutufafanulia mechanism ya hii njia au ni sheria ipi ya fizikia/asili ipo nyuma ya huo mchakato?

2.baada ya mtu kufanya hilo jaribio,atazipata fedha kwa njia gani?,kwa kufanya kazi au zitakuja zenyewe from "empty space"?

3.na kama zitatoka from "empty space",mbona hili litakuwa tukio ambalo haliwezekani kwa kuwa litapingana na sheria ya kwanza ya thermodynamic?

4.moja kati ya requrement katika jaribio lako ni pesa,kwanini tutumie pesa(ya nchi yoyote) wakati lengo la jaribio letu ni kutafuta hiyo pesa?
 
hapa mkuu itabid itumike intergration tuuu... .. .
 
Hahahaaa, keli hii Dunia ina mambo (is full of surprises)!
Ina maana huyu Dr. Tiba Mbadala 77 anawauzia watu mafuta ili wapate hela!!! Sasa yeye anayauza ya nini!!! Aish, mbona mimi sielewi hapa!

Guus huyo bwana virus uliyemweka kwa profile pic yako imnyofoa wapi?
 
kila kituu ujanja ujanjaa nenda direct mkuu kuwa unatafuta wateja wa mafuta yakoo
 
Zipo njia nne za kupata pesa. Kwa bahati au miungu watakusaidia;kwa juhudi zako; kwa zawadi au msaada wa rafiki; nimeisahau njia ya nne. Ah yes,nimekumbuka,njia ya nne,kwa urithi.
 
... .. . anakunyima raha eerh?
kwann usiondoke wwe?

Kama analeta upuuzi kwanii mtu asitoe kauli kama hiyo? Sasa mtu unatafuta pesa kwa kuuza mafuta yanayoleta pesa, kwanini asiyatumie mwenyewe
 
kama unataka pesa fanya kazi lugha nyingine tofauti na hapo ni usanii tu na ujinga usiokubalika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom