Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,201
Ahaahah jamni baby si wale kuku wa kienyeji tunaowafuga hapo kwetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaahah jamni baby si wale kuku wa kienyeji tunaowafuga hapo kwetu
Sasa kuku nifuge mimi kula ale nani?Ahaahah jamni baby si wale kuku wa kienyeji tunaowafuga hapo kwetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Natamani nikutane na Nahuja + Katoto kazuriMimi nahamu nikutane na miss natafuta madam s evelyn salt kuna wengi tu.
Alafu Asprin tuonane kweliAhsante kwa kukubali ombi langu. Una umuhimu sana kwangu. Natamani kukutana na wewe. Kimwili na kiroho
Baby wako ni mimi ama Zero IQ, wanawake kwa kucheza faulo hamjambo
@katoto kazuri anapenda kwenda kwa sangoma [emoji23][emoji23]Natamani nikutane na Nahuja + Katoto kazuri
Uzuri wa huku unapimwa kabisa na IQ yako kitaa hatujuani kivile zaidi ya salam
Haha duuh basi samahaniBaby wako ni mimi ama Zero IQ, wanawake kwa kucheza faulo hamjambo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nahamu nikutane na miss natafuta madam s evelyn salt kuna wengi tu.