Unataka kuwa mweupe Mwana JF? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unataka kuwa mweupe Mwana JF?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Boflo, Jun 9, 2012.

 1. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  jf.jpg

  Ni wakati muafaka wana Jf kung'arisha ngozi na wao waweze kupendeza na kuvutia......
   
 2. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Hiyo ndo nini na inapatikana wapi?
   
 3. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  nataka kuwa mweusi
   
 4. dfreym

  dfreym JF-Expert Member

  #4
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hata sielewi
   
 5. SIM

  SIM JF-Expert Member

  #5
  Jun 9, 2012
  Joined: Oct 25, 2011
  Messages: 1,642
  Likes Received: 792
  Trophy Points: 280
  Hii nayo ni kama karolito?
   
 6. bhikola

  bhikola JF-Expert Member

  #6
  Jun 10, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 457
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Yaani wewe ndo bado una ukoloni wa kifikra, so unataka kutuaminisha kuwa weupe ni bora kuliko weusi au unataka tuamini nini?
  Nachukia sana mtu asiyethamini uasili wake!! nakuchukia na wewe!
  Soma wimbo ulio bora uone jinsi binti mweusi alivyosifiwa "mimi ni mweusi mweusi tii lakini ni mzuri" umesahau hata ile noval maarufu ya "black is beuty"
  Shame on you na weupe wako, na ukombolewe kifikra. Nyie ndo mnakaribisha mpaka ucamerun kwetu (kazi kukutanisha hajakubwa zenu tu)
   
 7. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #7
  Jun 10, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Wakati huu wa global warming aka tabia nchi, tunahitaji more melanin than weupe. So spare us Boflo!
   
 8. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #8
  Jun 10, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Kama weupe ungekuwa mali,ubuyu usingepakawa rangi
   
 9. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #9
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  :clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2:
   
 10. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #10
  Jun 10, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,334
  Likes Received: 22,186
  Trophy Points: 280
  mi nataka kuwa wa bluu
   
 11. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #11
  Jun 10, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,334
  Likes Received: 22,186
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  ukisema hujui yanako patikana wala huyajui utakuwa huitendei haki avatar yako
   
 12. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #12
  Jun 10, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Na hata wa-mwaalim wangefurahia sana kazi yao maana wanachezea chokaa nyeupe masaa yote, na pia vikongwe wange-enjoy mamvi maana ni meupe yale!
   
 13. Swts

  Swts JF-Expert Member

  #13
  Jun 10, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 3,072
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Yan sikuhizi,kila mdada mjin,mkorogo,check Wema,Sinta, Sauda mwilima na wengne wengi,ila madhara yake n makubwa,mtu unazeeka na kuchakaa kabla ya umri,unajiweka kwenye risk za canser,yanin yote..Akhaa na ka johnson kangu,stak tabu kuongeza rangi,i lv myskin natural white, ka ya mtoto but ingekuw black fresh tu,chamsing n kujikubali na kutafuta kitakachoendana urskin.,hapo utakuwa mrembo,wakuvutia na asili,kama Mungu alivyokuumba!
   
 14. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #14
  Jun 10, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Hiyo podari bwana bado sijafikia kwenye mkorogo
   
 15. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #15
  Jun 10, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,334
  Likes Received: 22,186
  Trophy Points: 280
  Mbona sura na mabega rangi gombana?[​IMG]
   
 16. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #16
  Jun 10, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Wacha hiyo tu, wananuka miili yao vibaya sana, ukishaondoa ile "natural protection" unabaki kuwa jumba la mabakteria, ukikaa karibu nao utafikiri wanajamba kila dakika kumbe ni harufu yao baada ya kujichubuwa.
   
 17. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #17
  Jun 10, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  mbona hiyo cream yenyewe tu ni nyeusi!?
   
 18. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #18
  Jun 10, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  true...........nime notice hii kitu
   
 19. J

  Jembe la ndege Member

  #19
  Jun 10, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona huyu hafanani na mikono yake?:-
   
 20. Swts

  Swts JF-Expert Member

  #20
  Jun 10, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 3,072
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  hahahaa...yan kuumbe me najuaga n harufu ya *chi zao kuumbe., dah watu wamejisacrifice?
   
Loading...