Unataka kuwa mweupe Mwana JF?

Yaani wewe ndo bado una ukoloni wa kifikra, so unataka kutuaminisha kuwa weupe ni bora kuliko weusi au unataka tuamini nini?
Nachukia sana mtu asiyethamini uasili wake!! nakuchukia na wewe!
Soma wimbo ulio bora uone jinsi binti mweusi alivyosifiwa "mimi ni mweusi mweusi tii lakini ni mzuri" umesahau hata ile noval maarufu ya "black is beuty"
Shame on you na weupe wako, na ukombolewe kifikra. Nyie ndo mnakaribisha mpaka ucamerun kwetu (kazi kukutanisha hajakubwa zenu tu)

Hahahaaa...wewe kumbe haujamfahamu Boflo?.....aaaaah, kumbe wewe mgeni, karibu JF!
 
Yan sikuhizi,kila mdada mjin,mkorogo,check Wema,Sinta, Sauda mwilima na wengne wengi,ila madhara yake n makubwa,mtu unazeeka na kuchakaa kabla ya umri,unajiweka kwenye risk za canser,yanin yote..Akhaa na ka johnson kangu,stak tabu kuongeza rangi,i lv myskin natural white, ka ya mtoto but ingekuw black fresh tu,chamsing n kujikubali na kutafuta kitakachoendana urskin.,hapo utakuwa mrembo,wakuvutia na asili,kama Mungu alivyokuumba!
hao woooote hawana kitu kingine cha kufikiria zaidi ya rangi na maumbile ya miili yao.
hivi kama mtu una mambo ya muhimu utafikiria kujichubua ngozi au kufanya nini sijui kiungo gani? ili iweje?
 
avatar20588_5.gif

ukisema hujui yanako patikana wala huyajui utakuwa huitendei haki avatar yako

Hili si jini mahaba Zeituni, linatembea tembea maeneo ya Posta.... i saw her.... miguu blackyyyyyy na uso mweupeeee peeee....
 
hahahaa...yan kuumbe me najuaga n harufu ya *chi zao kuumbe., dah watu wamejisacrifice?

Haaa mie nilijua harufu ya madawa yananuka vibaya kumbe ni uvundo wa bakteria?? Haa kweli pole ya diva wa clous mie nilijua ni kei yake inanuka kumbe ni mkorogo hahaaaaaa
 
...kwa mujibu wa kioo changu, sina haja ya kuediti rangi yangu...
...naipenda..
 
Naomba kuuliza wandugu,hivi kuna mtaalamu yeyote aliyewahi kutengeneza dawa ya kubadilisha ngozi nyeupe kuwa nyeusi,au ndio wanataka kutulazimisha kuwa mzuri ni yule mwenye ngozi nyeupe tu.Kwako Kokuberwa wangu,unajua kabisa nilikupendea weusi wako wa kihaya, sasa nikusikie umeanza mambo haya ndio utanieleza vizuri sababu ya kware kutofugika.Najua utasoma tu hapa..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom