Unawezaje kumshawishi mtu aipende JF?

Unawezaje kumshawishi mtu aipende JF?

Holoholo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
8,837
Reaction score
19,993
Wakuu,

Huwa nashindwa nianze vipi kuwashawishi watu wawe wanatumia JF kama mimi! Kuna dogo mtaani niliwahi kumshawishi lakini amekimbia, napenda jamii yote ya watz watumie jf,lakni ndo hivyo sina mbinu za kuwashawishi. Wewe unatumia mbinu gani kuwavuta waweze kuipenda na kuwa member wa jukwaa hili?
 
Wambie waje wajionee dudu langu live bila chenga...
 
Huku JF kuna utamu wake.
Ni sawa na unakuwa na hamu na unayemkuta naye ana hamu. Basi hakuna kinachochomoka wala kinachomolewa, inakuwa kuchomekeana tu
 
Back
Top Bottom