Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,503
- 176,611
Safi sana. Basi usijali, mkeo ashajiandaa pia.Nilishajiandaa kuwa baba/mume bora
Nimemkumbuka yule dada aliyesema ye akivurugwa anachamba kuanzia mume na ukoo wake wote.Anatukana matusi mazito yani yanabebeka kwenye Lori la mchanga, haangalii mkubwa mdogo, ofisini wala wapi
Alafu usahihi wao ni kuwa negative tuuu, mfyuuuu!!!hawapendi kupingwa kwa hoja yaani wanaamini wako sahihi wao tuuuu
😀 😀 😀 😀mpk makaburi ya kwao mumeeNimemkumbuka yule dada aliyesema ye akivurugwa anachamba kuanzia mume na ukoo wake wote.
Hahahaaaa!!![]()
![]()
![]()
![]()
yaan nilijua tu auntie jamaan
Last time kapata mchumba, akamuektia mchumba kaingia line akamvalisha engagement, kuanza upelelezi jamaa akaambiwa huyo mwanamke hafai anatukana mno, jamaa kaenda kumuuliza baby nmesikia hivi na hivi, swali la kwanza mwanamke kauliza ni matak* gani huyo kasema, akashusha matusi mchumba akamwambia basi mama hiyo pete utatengeneza hereni, kala konaHuyo ndio basi tena mwanaume gani atataka mwanamke wa hivyo ndio mana tunaambiwa kizuri hakikosi kasoro
Kwasasa naangalia tutakae rekebisha tabia maana najua hakuna mtu timilifuSafi sana. Basi usijali, mkeo ashajiandaa pia.
Mmmmh,sio kila mtu anataka kuolewa wengine wanaenda kuangalia mikato ya chumba
Na nani?🙂 😀 😀 😀 😀 naogopa kusutwaa
😀 😀 😀Last time kapata mchumba, akamuektia mchumba kaingia line akamvalisha engagement, kuanza upelelezi jamaa akaambiwa huyo mwanamke hafai anatukana mno, jamaa kaenda kumuuliza baby nmesikia hivi na hivi, swali la kwanza mwanamke kauliza ni matak* gani huyo kasema, akashusha matusi mchumba akamwambia basi mama hiyo pete utatengeneza hereni, kala kona
😀 😀 😀 😀mpk makaburi ya kwao mumee
Last time kapata mchumba, akamuektia mchumba kaingia line akamvalisha engagement, kuanza upelelezi jamaa akaambiwa huyo mwanamke hafai anatukana mno, jamaa kaenda kumuuliza baby nmesikia hivi na hivi, swali la kwanza mwanamke kauliza ni matak* gani huyo kasema, akashusha matusi mchumba akamwambia basi mama hiyo pete utatengeneza hereni, kala kona

Sure, umpate tu wa kuendana nae. Basi hapo unakuwa umemaliza kazi.Kwasasa naangalia tutakae rekebisha tabia maana najua hakuna mtu timilifu
Yule Asha mkumbo kwenye kipindi cha dida?Nimemkumbuka yule dada aliyesema ye akivurugwa anachamba kuanzia mume na ukoo wake wote.
Nimemkumbuka yule dada aliyesema ye akivurugwa anachamba kuanzia mume na ukoo wake wote.
😀 😀 😀 😀mubasharaaa...leo kuna mdada alikua anamtukana mkwewee loohhh![]()
![]()
![]()
![]()
Yaani na atakayejipendekeza kuingilia anapewa vile vile.