Unataka kuijua CHADEMA? Angalia hapa

Unataka kuijua CHADEMA? Angalia hapa

huyu mjinga mjinga anatahuwa kujua modes of production in the history oh Man,
1. primitive communalism - ujima
2. Slavery- utumwa
3. Feudalism-ukabaila
4. Capitalism-ubepari-primive capitalism/mercantalism
-Industrial/competitive capitalism
Imperialism- syndicate
-Cartel
- Trust
5. Socialism
6 Communism - ambao ni hatua ya mwisho kabisa ya ujamaa.


Hivyo kwa mfumo wa uzalishaji mali wa Tanzania ni totally capitalism na ndo maana tuna biashara huria, serikali haijishughulishi tena na biashara, soko huria kucontrol bay za bidhaa, uwekezaji binafsi kwa kia sekta, na ubinafsishaji wa njia kuu za uchumi.Nadhani huyu ndugu anaona jinsi JK anavyozurura nje akisaka wawekezaji huku wananchi wakilaamikia unyanyaswaji wanaofanyiwa na wawekezaji.
Ujamaa njia zote za uchumi zinamilikiwa na dola na bei za bidhaa zinapangwa na kusimamiwa na serikali.
huyu ndugu akasome vitabu ili apate kuelewa na aache mawazo yasiyo na tija.

Kuhusu CHADEMA, ni kwamba hata kana wanapata misaada ni kwa watu wanaoipenda Tanzania iliyoimarika kiuchumi na rasilimali zilizopo ziwe kwa ajili ya watanzania na sio kama ufadhili wanaoupata ccm kwa kuwazawadia wawekwzaji wa canada na marekani huku wakigadhiliwa kwenye kampeni za uchaguzi wakichapishiwa tshirts, kofia,fulana. vitambaa.mabango na bendera wakati wa uchaguzi. ujerumani pia wanafadhiliwa, sasa mwenzangu ee waijua Barrik Gold mine?Tulawaka? uliza ni kinanani wanaonufaika na uwekezaji huo???
kuhusu tofauti kati ya mtei na nyerere ni kwamba, nchi ilifika pabaya kiuchumi hata bidhaa zikawa hazinunuliki. mtei alimshauri nyerere afanye devaluation ya currency yetu (Shilingi) ili kunusuru uchumi ulokuwa ukiyumba kini nyerere alikataa na ndo tofauti zilipotokea na hata hiyo nyerere alijaziingatia ushauri aliopewa na mtei. soma kaka mambo haya yapo kwa vitabu na uache kulipuka.
 
Unaongelea chama changu, hapa tunaongelea CHADEMA sawa rafiki?

...jibu maswali + hoja hizo!dadadeki!hayo mashimomnayotuachia huko kwny madini ni cdm?epa ,richmond,kuuza wanyama nje ya nchi yote hayo huyaoni?mtu mzima na akili zako unatetea ujinga?...kweli nimeamini kuikomboa hii nchi itachukua muda km akili zenyewe ndo hizi!
 
Hivi ndugu unachokisema ndicho unachokiamini?au unasema tu kwa malengo unyoyajua wewe binafsi,huku ukitambua ya kwamba unapotosha ukweli halisia?
 
Ila we kiboko mi nilijua ulivokosa U DC utaacha kuongea uongo na Uzushi, au umeahidiwa wa U DC wa Tarime nini?
 
Ubepari tatizo lake ni kwamba mwenyenacho ndie anayepata na siye nacho ataendelea kuwa mnyonge.

Ni tofauti kabisa na mfumo wa kijamaa.
Jaribu kujikumbusha Uraia au siasa darasa la tatu shule ya msingi.
Pumbavu.... hivi kwa masaburi yako unadhani nchi hii chini ya Chama cha Majambazi bado ni ya Kijamaa? Mbona hata huyo Nyerere wako alishawahi kukiri mara baada ya Azimio la Arusha kuzikwa kule Zanzibar, na akasema CCM inaimba Ujamaa lakini ina-dance Kibepari? Shwaini!
 
Nikushukuru kwa elimu ulioitoa. Hao nao tunao wapo na walikuwepo, but ujinga unaanza kutoweka miongoni mwa watanzania yeye na wenzie wanatapatapa wapo mashakani M4C Ina UUNGUZA MAGAMBA YOTE
huyu mjinga mjinga anatahuwa kujua modes of production in the history oh Man,
1. primitive communalism - ujima
2. Slavery- utumwa
3. Feudalism-ukabaila
4. Capitalism-ubepari-primive capitalism/mercantalism
-Industrial/competitive capitalism
Imperialism- syndicate
-Cartel
- Trust
5. Socialism
6 Communism - ambao ni hatua ya mwisho kabisa ya ujamaa.


Hivyo kwa mfumo wa uzalishaji mali wa Tanzania ni totally capitalism na ndo maana tuna biashara huria, serikali haijishughulishi tena na biashara, soko huria kucontrol bay za bidhaa, uwekezaji binafsi kwa kia sekta, na ubinafsishaji wa njia kuu za uchumi.Nadhani huyu ndugu anaona jinsi JK anavyozurura nje akisaka wawekezaji huku wananchi wakilaamikia unyanyaswaji wanaofanyiwa na wawekezaji.
Ujamaa njia zote za uchumi zinamilikiwa na dola na bei za bidhaa zinapangwa na kusimamiwa na serikali.
huyu ndugu akasome vitabu ili apate kuelewa na aache mawazo yasiyo na tija.

Kuhusu CHADEMA, ni kwamba hata kana wanapata misaada ni kwa watu wanaoipenda Tanzania iliyoimarika kiuchumi na rasilimali zilizopo ziwe kwa ajili ya watanzania na sio kama ufadhili wanaoupata ccm kwa kuwazawadia wawekwzaji wa canada na marekani huku wakigadhiliwa kwenye kampeni za uchaguzi wakichapishiwa tshirts, kofia,fulana. vitambaa.mabango na bendera wakati wa uchaguzi. ujerumani pia wanafadhiliwa, sasa mwenzangu ee waijua Barrik Gold mine?Tulawaka? uliza ni kinanani wanaonufaika na uwekezaji huo???
kuhusu tofauti kati ya mtei na nyerere ni kwamba, nchi ilifika pabaya kiuchumi hata bidhaa zikawa hazinunuliki. mtei alimshauri nyerere afanye devaluation ya currency yetu (Shilingi) ili kunusuru uchumi ulokuwa ukiyumba kini nyerere alikataa na ndo tofauti zilipotokea na hata hiyo nyerere alijaziingatia ushauri aliopewa na mtei. soma kaka mambo haya yapo kwa vitabu na uache kulipuka.
 
Ubepari tatizo lake ni kwamba mwenyenacho ndie anayepata na siye nacho ataendelea kuwa mnyonge.

Ni tofauti kabisa na mfumo wa kijamaa.
Jaribu kujikumbusha Uraia au siasa darasa la tatu shule ya msingi.

Kwa hiyo CCM wanafuata mfumo wa ujamaa? Unataka kusema chini ya utawala wa CCM hakuna walio nacho na wasio nacho???
 
Hiyo ni slogani. Je wananchi ndio wanaamua nani awe mwenyekiti wa chama? je wanaaamua kuwa nani awe mbunge wa jimbo fulani? kama sio je maana ya nguvu ya umma iko wapi?

Ninachotaka pia unipe Experience ya Mbowe. Je alikuwa mpiga Disco? nijibu maswali yangu yote usikimbie sawa?

Mbna hueleweki? Kwa hiyo hoja yako ni Mbowe kupiga disco au? kwani ni nani ktk age ile hakuwa anapiga na kucheza disco? tena ambao hawaku-socialize wakiwa teenagers wengi wameharibikiwa kwa kuzibukia ukubwani1 mbona JK alikuwa mcheza disco maarufu hata alipokuwa waziri wa mambo ya Nje bado kwenye madisco kama kawa, weee vipi bana? Mbona humzumngumzii DG wa TISS Bw. Othman alikuwa mpiga disco maarufu UK hadi alipoibuliwa na akina JK mbona hao huwasemi? usilete za kizamani hapa - ebo!
 
Chadema ni chama kilichoanzishwa kwa mfumo wa kibepari. Kwahiyo Msingi mkuu wa chadema ni ubepari.
Mwanzilishi wa Chadema ni Mzee Mtei ambaye alitofautiana na baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Tofauti yao ni kuhusu sera za IMF Mtei alikuwa anaunga mkono bali Nyerere alikataa sera za kibepari.

Kwahiyo Sera za kibepari msingi wake mkuu ni mtaji (Pesa).
Kimekuwa kikipata misaada ya chini chini kutoka katika nchi za magharibi kama Uholanzi na zingine, kitendo ambocho kinanipa mashaka kuwa vipi pesa hizo zitalipwa. Ninadhani kuna makubaliano ya chini kwa chini ambayo watu wengi hatuyajui.

CHADEMA kimejitahidi sana kuwafundisha wanachama wake kutohoji mapato na matumzi ya chama. Hii ni mbinu ambayo imetumiwa na CHADEMA kuwaaminisha wanachama dhidi ya viongozi kuwa wao hawana doa.

na hii ni hatari sana.

eti una mashaka kuwa misaada italipwaje?!
misaada hailipwi; inayolipwa ni mikopo!
 
Ubepari tatizo lake ni kwamba mwenyenacho ndie anayepata na siye nacho ataendelea kuwa mnyonge.

Ni tofauti kabisa na mfumo wa kijamaa.
Jaribu kujikumbusha Uraia au siasa darasa la tatu shule ya msingi.

Kipi bora,kuwa na mfumo wa kibepari unao sound worldwide au kuwa na mfumo wa kijamaa kwa kuimba huku ukicheza kibepari?Mzee Mtei alipingana na mwalimu JK Nyerere akaamua ku resign,alipotoka mawlimu pamoja na ujamaa wake lakini alikubaliana na masharti yale yale aliyoshauriwa na Mzee Mtei,kwa mantiki hiyo basi Nyerere alikula matapishi yake ama siyo uchumi ungeyumba.
 
Afadhali hawa CDM waliojipambanua kuwa mabepari kuliko hawa CCM ambao kwenye maandishi ni wajamaa lakini kwa vitendo wanashabikia ubepari huku wakitumia ufisadi kujenga mitaji ya kibepari.
 
ukitaka kujua mfumo wa CCM NI MBOVU HASA KWENYE UCHUMI WETU.SOMA HAPA

SI uzushi wala uchochezi. Tanzania inaelekea pabaya tena sana.

Tangu kuingia kwa mchezo mchafu wa kikundi cha watu tena wachache kujihudumia na kutafuta utajiri kwa kuwauza wenzao, Tanzania si salama ingawa hakuna milio ya bunduki.

Uliza. Yako wapi mapambano dhidi ya ujambazi, ufisadi (ugamba), biashara ya mihadarati, kurekebisha mikataba ya kijambazi ya uwekezaji ambao ni uchukuaji na uwajibikaji? Si siri.

Kwa sasa Tanzania iko mikononi mwa maharamia tuseme majambazi hasa kiuchumi. Imefikia mahali majambazi yaitwayo wawekezaji yanakuja na kutuibia mchana kweupe kwa kushirikiana na wenzetu waroho wachache tuliwaamini.

Uliza uwekezaji kwenye Shirika la Reli uliishia wapi ilipoingia kampuni ya Kihindi iitwayo RITES?

Mijitu inakuja bila hata senti halafu eti inawekeza kwa kuilazimisha serikali iwape mikopo ili waendeleze mradi! Ni wawekezaji wangapi wanakuja na briefcases zao na makaratasi na kurejea kwao wakiwa na magunia ya dola?

Uliza. Ni wawekezaji wangapi hasa kwenye madini wanamiliki ndege na viwanja binafsi vya ndege wanavyotumia kutoroshea madini yetu bila kukaguliwa?

Ni wangapi wanachafua mazingira na hakuna anayewawajibisha?

Hebu zidi kupiga mbizi kwenye uchafu huu uone mengi. Hakuna ujambazi wa wazi kama unaofanywa na makampuni ya simu kwa sasa.

Wanakuja na kuweka mitambo chakavu halafu wanawatoza Watanzania viwango vya juu vya kutumia simu.

Huwa najiuliza. Inakuwaje kupiga simu, kwa mfano, kutoka Canada kwenda Kenya nitozwe senti tano za dola na Tanzania nitozwe senti 27 za dola kwa dakika?

Wakati viwango vya Kenya ni vidogo, mawasiliano baina ya Kenya, Uganda, Rwanda hata Burundi ni bora na rahisi wakati Tanzania ni utapeli mtupu.

Mtu unapiga simu unaambiwa ongeza salio, mara namba ya simu haipo, mara simu inatumika mara hili mara lile.

Kwanini hatusikii upuuzi huu tunapopiga nchi tulizotaja hapo juu kama hakuna namna?

Ajabu ya maajabu, kila mwaka makampuni ya simu yanabadilisha majina ili kuendelea kufaidi msamaha wa kipuuzi wa kodi.

Angalia mahoteli yenu yanavyobadili majina na wamilki kila baada ya miaka mitano ili kuendelea kufanya biashara bila kulipa kodi. Angalia watu wanavyouziana makampuni waliyookota Tanzania kwa bei ya kutupwa.

Anayebishia hili ajikumbushe Richmond ‘ilijiuza’ kwa Dowans kwa bei gani ikilinganishwa na bei ya maandishi tu bila kulipa pesa iliyoianzishia biashara hii hewa.

Leo tunaambiwa kuwa pesa tunayoilipa IPTL, kwa mfano inatosha kununua na kujenga mitambo bora na mikubwa kuliko tunayolipia.


Je, kwanini tunaona kujikomboa ni dhambi wakati tukiabudia maangamizi kama haya ya IPTL na makampuni mengine mengi ya nishati.

Je, hapa hakuna rushwa na ufisadi vya wazi? Je, wahusika hawajulikani? Nani anawagusa wala kuwashughulikia? Tunakwenda wapi?

Imefikia mahali watu wakiuliza ni kwanini uchafu huu unaendelea wakati kuna mamlaka, wanakufa kwenye mazingira ya kutatanisha. Jiulize. Mbunge wetu mmoja alipatwa na nini baada ya kuhoji ni kwanini alikuwa akiona watumiaji wa mihadarati hadharani ambao wangeweza kutuonyesha wanakonunua madawa.

Tufikie mahali tuambiane ukweli bila kuogopana wala kufichana. Bila kufanya hivyo na kubadilika nchi yetu itaishia pabaya.

Ni juzi juzi serikali ya Mali imeangushwa kutokana na hasira za jeshi kushuhudia wauza unga wakiwa ndani ya serikali na serikali isifanye kitu kwa vile wakubwa zake walikuwa wakinufaika na uchafu huu.

Je, sisi tu salama na hawa wauza unga na majambazi wa kiuchumi waliotapakaa nchini mwetu? Je, wananchi wataendelea kugeuzwa mbuzi wa shughuli kila mwaka?

Huwa siachi kusema kuwa Watanzania ni viumbe wa ajabu hata kama hawana mikia au macho kisogoni.

Maana ukiangalia kwa mfano, rasilimali zao zinavyoibiwa, wanavyolanguliwa huduma kama vile umeme, simu na mahitaji mengine na wakaendelea kuvumilia unashangaa hawa ni watu wa namna gani.

Nani kwa mfano anakumbuka na kuhoji ile kashfa ya utoroshaji wanyama iliyotokea Novemba 24, 2010 ambapo ndege ya kijeshi ya Qatar ilifanikiwa kutorosha wanyama mbali mbali 130 kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro?

Je, kama KIA wana uwezo wa kutorosha wanyama hai na wengi kiasi hiki wanashindwa nini kuingiza maelfu ya tani za unga?


Ukitaka kujua nini namaanisha, watafute wafanyakazi wadogo na wa kawaida viwanja vya ndege uone walivyo matajiri wa kutupwa.

Unadhani pesa hii wanaipata wapi kama si kuruhusu uchafu na jinai kama ile ya KIA......................

Nenda TRA, Bandari, Uhamiaji. Mambo ni yale yale. Uchafu, uchafu mtupu. Nani anajali iwapo wanaofaidika wameweka watu wao kufanya kazi hiyo? mfano, vituo vyetu vya mipakani vimegeuzwa maduka ya wezi wachache kupitisha wamtakaye na wakitakacho bila kuulizwa na yeyote?

Je, namna hii nchi itakuwa salama? Je, namna hii tunaweza kujisifu kuwa yaliyotokea Mali hayawezi kutokea huko tuendako ambapo wahusika wasiporekebisha hali hii wananchi katika hali yoyote wataamua ‘enough is enough’.

Tumekuwa taifa la hovyo linalowazawadia watenda maovu!

Uliza waliotimuliwa madarakani kwa kashfa wanalipwa pesa ya umma kwa kazi gani zaidi ya kupaswa kuwa mahakamani hata magerezani? Tumegeuka taifa la watenda maovu na waovu kirahisi hivi?

Je, baada ya mchezo huu mchafu Tanzania itabaki nini? Tunaviandalia nini vizazi vijavyo iwapo tunafanya mambo kama mataahira kutokana na kufikiri kwa matumbo badala ya vichwa?
 
Mnajibadidisha sana, Kwa kauli majina na uongo wenu........Watu wameshaamka.Uzushi wenu hauna Mashiko siku zote.Na Uamsho Ungetokea Bara ndiyo ingehusishwa moja kwa moja na CDM lakini kwasababu ni Zenji Naona damu imekuwa nzito kuliko maji.
"If you can not fight CDM Join them"
 
mmmhh,mkuu BJEVI u a GT men!kwa kweli inauma sana!haya ww unaekaa kuingolea CDM,hivi huo muda c ungekaa kufikiria haya matatizo yanatatuliwaje!inauma sana,cjui niseme nn!..halafu mtu na akili zake anatetea ccm na system yake ambayo imejaa uozo,anafikiria kipengele cha dini kwny sensa,itatusaidia nn jamani watz mbona hatuelewi nani katuloga?agrrrrrrrrr......hivi tutavumiilia mpaka lini?hivi ile critical point wenzangu haijafika? kweli liishalo kubwa kuliko linalokuja
 
Ulishaenda kuhoji ww mapato ya chama ukazuiwa? Acha umbea
 
Ubepari tatizo lake ni kwamba mwenyenacho ndie anayepata na siye nacho ataendelea kuwa mnyonge.

Ni tofauti kabisa na mfumo wa kijamaa.
Jaribu kujikumbusha Uraia au siasa darasa la tatu shule ya msingi.

Kumbe CCM ni chama cha kijamaa???!!!
 
Hujaelewa kitu gani sasa? CHADEMA INAFADHILIWA NA NCHI ZA MAGHARIBI HUELEWI TU?

Wale watu wamechangia pesa pale Chadema Square juzi wanatoka nchi za maghararibi? Alafu kuna tatizo gani Chadema kufadhiliwa na nchi za magharibi wakati ndio zinafadhili badget zetu pia? hata hiyo computer unayotumia kupiga kelele apo utakuta pia ni donation. acha unafiki wewe
 
CCM = ujamaa na kujitegemea.

Ubepari = kuhodhi mali/mitaji

ubepari = EL + Chege+ Mainge+RA+Ngerenja +...

(EL+Chege+Mainge+RA+ Ngerenja+...) = CCM

then,

CCM = Ubepari

kumbe ndivyo ilivyo!!!!!!!!!!

Mleta thread ajipange upya
 
Back
Top Bottom