Unasemaje kuhusu hili?

Tall

JF-Expert Member
Feb 27, 2010
1,425
165
Kila mtu ana jina lake ambalo aidha la kimila,au la kikristo au labda la kiislamu,lakini cha msingi ni kuwa kila mtu ana jina lake.Kuna usemi kuwa majina mara nyingi huathiri tabia ya mwenye jina na kufanana na jina hilo utakuta wenye majina fulani hupenda sana pombe,na wa majina mengine karibu wote wanapenda ngono.:KUNA ukweli katika hili?:
kwa mfano ukimwita mwanao Tabu/Shida siku zote maisha yake yatakuwa ya shida shida tu.Kama kuna ukweli inabidi kutulia na kuwa makini tnapowapa majina watoto wetu.Mfano mwingine,
Muddy..mara nyingi watu wasiotulia..machachari,...kwa maoni yangu.
Ibrahim...watulivu sana wapole.........kwa maoni yangu
Akina Jackline......dakika tano mbele.....kwa maoni yangu
Akina michael............machachari sana,pombe,wanawake nk.
1.je unaorodha ya majina na tabia zao kwa mtazamo wako?
2.je kuna ukweli kuwa utakavyomwita jina mtoto tabia yake itakuwa kama haohao?
Toa mchango wako,lakini nawaombeni kwa majina yanayotumika hapa JF MU YA OVERLOOK/MSIYATUMIE KAMA MFANO.
ZOEZI HILI LITASAIDIA KUWAPA MAJINA YANAYOSTAHILI/FAA WATOTO.
 
Kwa mtazamo wangu majina yapo ili tuweze kutambuana tu.
Lakini kimsingi majina hayana uhusino na tabia wala future ya mtu.
kama ingekuwa hivyo watu wengi wangewaita watoto wao majina ya watu flani matajiri ili watoto wao nao waje kuwa matajiri.
 
Mwajuma/chausiku/mwanaasha/bahati=Housegirls
John=kicheche
 
Back
Top Bottom