Unapovaa suti, epuka kufanya mambo 26 yafuatayo

DIDAS TUMAINI

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2014
Posts
242
Reaction score
681
SHERIA ZA KUVAA SUTI:

1. Usikimbie ovyo.
2. Usinyoe kiduku.
3. Usitembee kwa mguu muda mrefu labda mita mbili.
4. Usipande bodaboda, baiskeli au fuso hata kama ni lifti.
5. Usibebe malboro, beba brief case tu.
6. Usile ovyo ovyo barabarani sana sana mahindi ya kuchoma au mihogo.
7. Usivae suti na ndala au yebo yebo au raba. Labda all star nyeusi tu.
8. Marufuku kutembea haraka haraka kama masai alotumwa apeleke rungu mahali.
9. Marufuku kugombana na kondakta kisa anataka kukutapeli shilingi mia dai kuanzia elfu moja, sarafu waachie wakanunue nyanya
10. Ukitembea weka mkono mmoja mfukoni.
11. Usiongee ovyo ovyo.
12. Jitahidi kukaa mbele ukipanda dala dala.
13. Usivae suruali ya suti mlege ni kinyaa.
14. Kama unatembeaga kama unapanda mlima siku iyo jitahidi kunyooka then dunda kidogo.
15. Ukikutana na rafiki zako uliozoeana kuwapa tano siku hiyo shake hands.
16. Ukivaa suti hakikisha unanukia.
17. Ukikaa mahali popote hakikisha unakunja nne.
18. Usivae vitu kama culture au mipete isiyoeleweka kama umeoa vaa ya ndoa tu kama bado kaa ivyo ivyo.
19. Ni laana kuuliza mtu barabarani ni saa ngapi vaa saa tena ya mshale, Mkonyezo ni mwiko.
20. Ukikaa hotel ukaagiza kinywaji ni marufuku kunywa na chupa.
21. Usivae koti la suti ambalo halijachanwa nyuma litakua ni mfuko wa mashine sio suti.
22. Usivae mkanda wenye bakoli yenye bomu sijui bunduki au fuvu au picha ya obama vaa mkanda wa kawaida unaoeleweka na sio wa begi.
23. Usikumbatie watu unabowafahamu ovyo just shake hands just that.
24. Kama una matege usivae mnyonyo.
25. Kama unakitambi usifunge koti utaonekana kama furushi la bangi.
26. Kata kucha nyoa ndevu. B smart..
FB_IMG_15633941921611761.jpeg
 
26. Kata kucha nyoa ndevu. B smart..View attachment 1158336
Pole sana mkuu kwa kuitukuza suti .Umesahau hadi kondakta na DEREVA wa daladala wanavaa suti na sifa unazotaja ndizo wanazofanya zote.Walinzi wa marais wote wanavaa suti na wanakimbia kinoma,Suti wanazitumia walinzi wa magetini kama wale FBI,CIA ,Tiss ,suti na wanafanyia mpaka mzoezi, suti inapatikana hadi kwa buku ten halafu unaipa hazi.
 
Hivi karibuni suti zimeanza kukosa heshima...
Unakuta mtu anavaa suti na ndala..
Au kavaa na kibegi mgongoni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom