Unapovaa suti, epuka kufanya mambo 26 yafuatayo

Dah! suti na sheria kama zote, mi navaa half suit angalau kukwepa baadhi ya sheria
 
SHERIA ZA KUVAA SUTI:

1. Usikimbie ovyo.
2. Usinyoe kiduku.
3. Usitembee kwa mguu muda mrefu labda mita mbili.
4. Usipande bodaboda, baiskeli au fuso hata kama ni lifti.
5. Usibebe malboro, beba brief case tu.
6. Usile ovyo ovyo barabarani sana sana mahindi ya kuchoma au mihogo.
7. Usivae suti na ndala au yebo yebo au raba. Labda all star nyeusi tu.
8. Marufuku kutembea haraka haraka kama masai alotumwa apeleke rungu mahali.
9. Marufuku kugombana na kondakta kisa anataka kukutapeli shilingi mia dai kuanzia elfu moja, sarafu waachie wakanunue nyanya
10. Ukitembea weka mkono mmoja mfukoni.
11. Usiongee ovyo ovyo.
12. Jitahidi kukaa mbele ukipanda dala dala.
13. Usivae suruali ya suti mlege ni kinyaa.
14. Kama unatembeaga kama unapanda mlima siku iyo jitahidi kunyooka then dunda kidogo.
15. Ukikutana na rafiki zako uliozoeana kuwapa tano siku hiyo shake hands.
16. Ukivaa suti hakikisha unanukia.
17. Ukikaa mahali popote hakikisha unakunja nne.
18. Usivae vitu kama culture au mipete isiyoeleweka kama umeoa vaa ya ndoa tu kama bado kaa ivyo ivyo.
19. Ni laana kuuliza mtu barabarani ni saa ngapi vaa saa tena ya mshale, Mkonyezo ni mwiko.
20. Ukikaa hotel ukaagiza kinywaji ni marufuku kunywa na chupa.
21. Usivae koti la suti ambalo halijachanwa nyuma litakua ni mfuko wa mashine sio suti.
22. Usivae mkanda wenye bakoli yenye bomu sijui bunduki au fuvu au picha ya obama vaa mkanda wa kawaida unaoeleweka na sio wa begi.
23. Usikumbatie watu unabowafahamu ovyo just shake hands just that.
24. Kama una matege usivae mnyonyo.
25. Kama unakitambi usifunge koti utaonekana kama furushi la bangi.
26. Kata kucha nyoa ndevu. B smart..View attachment 1158336
boya ww nimependa picha ya mbuzi. ila nimefurahi kwa sheria
 
28. UKIVAA SUIT USIMJARIBU MUNGU WAKO
 
Suti ina heshima zake, unapiga kimini cha nguvu.😂
Kuna lecture mmoja alitutesaga sana hujavaa suti uingii kipindi chake😂😂😂😂na ukivaa rangi za kisukuma usiangaike na kuingia dah😁😁😁
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom