The Dude
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 1,029
- 453
Wasalaam nyote.
Natumaini kama binadamu sote tunakuwa na hasira ama huzuni mara kadhaa.
Swala ni je,tunakabiliana nazo vipi?Ningependa kujua kutoka kwa wataalam wa saikolojia,afya ya akili na wengne nyote kama binadamu.
Naamini mawazo yenu yanaweza kuwa tiba na kuokoa roho ya mtu leo hata kesho kama sio mimi basi mwingine yeyote.
Assume situation ambapo umekasirishwa mpk unataka kupasuka,au una huzuni mpaka haielezeki..and it happens to be just a tip of the ice berg,more is yet to come. Yani dizaini halijaisha hilo,jingine hili,na jingine na jingine...the world( only yours,apparently) is crumbling down...the pieces are too scattered to gather..
what do you do?
Kiroho safi yani.