ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,239
- 40,779
- Thread starter
- #201
😅😅 kwamba saivi kalewaAmeshasema akilewa mmuache
Mtu anaechukia mtoto hua namuogopa sana bora hata aseme mimi wala sitazaa kwa sababu fulani
Kuliko hiyo kuona watu wanaozaa kama hawana akili yeye asietaka kuzaa ndio ana akili nyingi
Dunia bila watu ni dunia gani
Watu lazima wazaliwe kwa sababu waliopo wanakufa
Na kuzaa mtu anaetaka kuzaa azae watoto anaomudu kuwalea basi