Unapenda watoto?

Mtoto anajua anaempenda na asiyempenda. Upendo wa mtoto haudanganyi hata akikuchukia jua ni kweli na kuna kitu ulifanya akawa hivyo.😁
 
Msijali, ninalo toroli spesheli la kuwabeba mkilewa🀣
Umenikumbusha kuna baba mmoja nilikuwa naishi naye jirani, asubuhi sana kashaenda kukiwasha🫒 yani saa 7 tu kasharudishwa na wenzie kwenye toroli dahh! Apumzike kwa amaniπŸ˜₯
 
Watoto ni gharama.
 
Elon musk tajiri namba moja duniani, anasikitika mwanae mmoja amekuwa Shoga.

Yaani hii dunia acha tu.

Unaweza kuwa na pesa ndio. Unazaa watoto unawahangaikia kila kitu, mwisho wa siku wanakuja kuku disappoint vibaya mno.

Hadi unajuta kwa nini ulizaa!
 
NAdhani tuheshimu makubaliano ya wawili..

Hakuna geresha, nataka watoto nae anaelewa na tayari kanikuta nao wengi mnooo

Kifupi mzee wangu alikuwa na watoto 23, na juzi tumemjua mwingine, 24 hao,nataka nimfunike πŸ€£πŸ˜‚
Dahh siamini! Ila ni sahihi kama mna makubaliano!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…