Sema baadhi, rudia tena kusema baadhi mkuu/mzee mwenzangu.Roho juu juu muda wote kuhusu usalama wake, tabia zake, mafanikio yake na mambo mengine. Hii ni hasa kwa kina mama maana wababa kwa kweli hawajawahi kuwa na uchungu na watoto wao😄
🤣🤣🤣 wanakopelekwa.Mimi watoto napeleka wapi😁
Tulia we baba😅Sema baadhi, rudia tena kusema baadhi mkuu/mzee mwenzangu.
Wababa wa kizazi hiki tunapenda sana welfare ya watoto wetu. Acha kabisa.
🤣 akili zako sasa🤣🤣🤣 wanakopelekwa.
Akha siwataki mimi🤣🤣🤣🤣 wanakopelekwa.
Eti mnawapelekaga wapi?🤣 akili zako sasa
Hebu changamka huko.Akha siwataki mimi🤣
Ni chemistry fulani hivi ya ajabu aliyoweka Mungu.Yaani wewe umenielewa sana watoto wana nguvu ya kutuliza sijui hii imekaaje
Baba zao wamechukuaEti mnawapelekaga wapi?
Hatari...Raha ya watoto wakiwa wadogo, wakianza kufikia miaka 12 na kuendelea, utatoka mvi ndani ya wiki....
Namsubiri mdogo wako amalize shule😁Hebu changamka huko.
Anakutuliza bila kutumia nguvu🥰Ni chemistry fulani hivi ya ajabu aliyoweka Mungu.
Yaani mtoto anakuwa mdogo kimwili lakini kisaikolojia anakuwa amekuzidi nguvu, anakutuliza bila hata kutumia nguvu.
Naomba k miss she's😋😋Wow akakutoa kwenye uzinzi🥰
Mwanaume unamuelewa baba ukubwani ukishazeeka, baba haongei sana, hanaga kampeni kama mama.Watoto wote wakiwa wadogo ni rafiki sana wa baba,
Watoto wa kiume wakifikisha umri wa miaka 10 na kuendelea wanaanza kumtenga baba na kuside na mama zao. SIJAJUA NINI KINASABABISHA. Pamoja na kuwahangaikia sana huwa hawatambui mchango wa baba.
Ngoja ni subiri wa kike wakifika umri huo nione wao wanabehave vipi.
Mbona ashamaliza jamani!! Tangu 2011🤣🤣Namsubiri mdogo wako amalize shule😁
K ndio kitu gani?Naomba k miss she's😋😋
Na hapa ndipo ninawapigia salute wanawake, iwe mama ama beki 3, nina watoto zangu wawili sehemu wanampenda beki 3 kulikp chochote, mama yao anajitahidi lakini wapi, huyu wa chini ya mwaka kuna muda anagoma kulala, inabidi alale kwa dada yake kwanza ndio achukuliwe 😂, huyu mwingine miaka mi3 yeye akiamua anagoma, labda mie niwepo huko mdio anakubali kulala na mimi badala ya kwa dada yake...Huwa wanazingua sana. Yaan usiombe uachiwe watoto wa umri huo. Huwezi kukaa na amani mda wote ni kuwachungulia wanafanya nini cause ukizubaa wanafanya mambo ya hatari. Wamama wanamoyo sana kushinda na watoto, wanahekaheka sana tena ni udadisi wa mambo ya hatari.😅😅😅Ukizubaa unamkuta na dumu la mafuta ya taa anajimiminia tu
Fanya jambo sasa hapo tuanze kusemezana😁Mbona ashamaliza jamani!! Tangu 2011🤣🤣