ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,165
- 40,534
- Thread starter
- #81
Unawapenda ila wasiwe wakoNawapenda ila wasiwe wangu. Na ni wa 0-2.
Sijaelewa
Unawapenda ila wasiwe wakoNawapenda ila wasiwe wangu. Na ni wa 0-2.
Punguza mtoto atapata changamoto atashindwa kukuelezahahahaha aseeh nakuwa mkali inabidi nipunguze
Huwa wanazingua sana. Yaan usiombe uachiwe watoto wa umri huo. Huwezi kukaa na amani mda wote ni kuwachungulia wanafanya nini cause ukizubaa wanafanya mambo ya hatari. Wamama wanamoyo sana kushinda na watoto, wanahekaheka sana tena ni udadisi wa mambo ya hatari.😅😅😅Ukizubaa unamkuta na dumu la mafuta ya taa anajimiminia tuNdio burudani za watoto hizo 😂🤣
ashindwe vipi? ntambandua nimtie chumviPunguza mtoto atapata changamoto atashindwa kukueleza
Duh wengii😬Siishi kwa ajili ya tuzo, na kama ni tuzo basi watoto ndio tuzo yenyewe...
Kifupi napenda tu watoto, mwaka huu mungu akijaalia watakuwa 16. Na mwakani huenda nikaongeza..
Lengo wafike 20 na kama uwezo ukiruhusu zaidi basi natamani zaidi na zaidi hata kama watafika 30
Hata kwa baadhi udereva huwa unabadilika. Kijana anaacha kupenda ligi barabarani, ana majukumuUkishapata mtoto maisha yako yanabadilika unakuwa mtu wa wasiwasi tu hadi siku unakufa.
Ukiwa na watoto wadogo ndani huwezi kutulia labda mpka walale😅Huwa wanazingua sana. Yaan usiombe uachiwe watoto wa umri huo. Huwezi kukaa na amani mda wote ni kuwachungulia wanafanya nini cause ukizubaa wanafanya mambo ya hatari. Wamama wanamoyo sana kushinda na watoto, wanahekaheka sana tena ni udadisi wa mambo ya hatari.😅😅😅Ukizubaa unamkuta na dumu la mafuta ya taa anajimiminia tu
Una watoto wangapi kijanaanimal instinct, au instinct ya kila kiumbe, kuwa obsessed na kile kidogo kukijali ili kikue vyema uzao uendelee
Mungu alituambia tuzaliane na kuijaza dunia
Wawe wa nani?🤣Nawapenda ila wasiwe wangu. Na ni wa 0-2.
Dah🤣🤣🤣 aisee sasa kwanini wakiume ndio akikukojolea uchekelee kwa furaha wa kike je?Mtoto akiwa mdogo hasa wa kiume ile unamnyanyua alafu akakojokea huwa inaleta raha furani ya ajabu sana.
But yule kijana marehemu wa pale Kagera ni mpumbavu sana
Subiri kwanza una mtoto au badoashindwe vipi? ntambandua nimtie chumvi
sina watoto, ila wananivutia sana na wananipenda sana. watoto ni version ya mtu ambayo bado ipo pure. wakikupenda ujue ni pure love.Una watoto wangapi kijana
❤️sina watoto, ila wananivutia sana na wananipenda sana. watoto ni version ya mtu ambayo bado ipo pure. wakikupenda ujue ni pure love.
ninao wawili mapacha pax na patrickSubiri kwanza una mtoto au bado
Yooo🥰 napenda mapacha🤗ninao wawili mapacha pax na patrick
Hafu ukipenda kucheza nao utakoma..😁kila wakati wao wanaona ni mda wakucheza na wewe tu...mda mwingine unawaza yako wao wanakuja kukudandiadandia ucheze nao. Hawawazi kitu hawa viumbe, wao wanaiona dunia hii ni ya furaha tu mda wote.Nakumbuka wakati wa msiba wa bimkubwa yaan wajukuu zake walikuwa hawana hata habari, watu wanalia wanajaa home wanalala..wanakula ila wao hamna wanachokielewa sijui walikuwa wanajua ni sherehe au kitu gani. Wanachez na kukimbizana tu. But baada ya msiba ndo wakamkumbuka, wakawa wanaingia chumbani kwake wakimkosa wanamuulizia bibi yuko wapi. Yaan siku tu wakimkumbuka basi haishi mdomoni kwao. Sometimes mnakosa cha kuwajibu na kila mtu anaondoka eneo lao. Watoto wanakumbukumbu sna!Ukiwa na watoto wadogo ndani huwezi kutulia labda mpka walale😅
Aisee wewe unawajua watoto vizuri wao hawajui kama mda huu sio wa kuchezaHafu ukipenda kucheza nao utakoma..😁kila wakati wao wanaona ni mda wakucheza na wewe tu...mda mwingine unawaza yako wao wanakuja kukudandiadandia ucheze nao. Hawawazi kitu hawa viumbe, wao wanaiona dunia hii ni ya furaha tu mda wote.Nakumbuka wakati wa msiba wa bimkubwa yaan wajukuu zake walikuwa hawana hata habari, watu wanalia wanajaa home wanalala..wanakula ila wao hamna wanachokielewa sijui walikuwa wanajua ni sherehe au kitu gani. Wanachez na kukimbizana tu. But baada ya msiba ndo wakamkumbuka, wakawa wanaingia chumbani kwake wakimkosa wanamuulizia bibi yuko wapi. Yaan siku tu wakimkumbuka basi haishi mdomoni kwao. Sometimes mnakosa cha kuwajibu na kila mtu anaondoka eneo lao. Watoto wanakumbukumbu sna!
Unajizima data eeh 😄😄Kwanini una mawazo negative kiasi hicho?
Wazazi wako wangewaza hivyo hizo raha wewe ungezipondea wapi?
Wewe sema hivi sivutiwi tu na mambo ya kuzaa ila hizo sababu ulizotoa ni nyepesi sana
Wewe mwenyewe unaweza kua na mali zako wahuni wakakudaka wakakuminya na wakachukua kila kitu