ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 7,501
- 18,292
- Thread starter
- #61
Vp kuhusu huduma 🤔Siishi kwa ajili ya tuzo, na kama ni tuzo basi watoto ndio tuzo yenyewe...
Kifupi napenda tu watoto, mwaka huu mungu akijaalia watakuwa 16. Na mwakani huenda nikaongeza..
Lengo wafike 20 na kama uwezo ukiruhusu zaidi basi natamani zaidi na zaidi hata kama watafika 30