Unapenda mwanamke au mwanaume wa aina gani?

Unapenda mwanamke au mwanaume wa aina gani?

Mwanamke mwembambaa! Modo wa kufa mtu asie na chura

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
kwani kabila gani wewe?
kwa kisukuma lina maana mbaya sana, futa kabisa linamaanisha "yabhuda"


ndo nn' yabhuda' mkuu! kifupi babu mzaa mama anaitwa NG'WANA MBITI YAZA! sasa sijui nae nimkane?
 
hahahah na wasio na hisia na wake zao! mie niamshe usk uniambie hupend nn nitakuambia sipend mwanamume asie na hisia na mm mbinafsi! siwapend jaman!... mwanaume mbinafsi mie huwa namfananisha na MUUAJI
Kama bata anakula kivyake vyake hana mpango na watoto wake[emoji125] [emoji125] [emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me kiukwel kademu ninakokapenda,ni Kawe kadogo dogo hivi,afu kawe kacheshi,muda huo huo kawe kana shule ya kuanzia diploma kichwani mwake,afu sasa mungu awe amekajalia kachura kwa mbali na vinyonyo vidogodogo flani hvi,muda huo huo kawe kana rangi ya maji ya kunde,pia kawe kana adabu kwangu na kwa wananchi wengine,halafu kawe kacha mungu ila kasiwe kalokole,pia kawe kana aibu kwa mbali afu kawe na madeko deko ya kike.
Ebana demu mwenye sifa hzo hapo juu,huwa najikutaga nahonga mwenyewe pasipo shuruti.
Hahahaha nimecheka hapo kwenye kawe kacha Mungu lakini siyo kalokole. Kwa nini hutaki kalokole mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie napenda mwanaume smart yaani awe na sura nzuri maji ya kunde na sio mweusi anaenukia mwenye kifua kilichotanuka kdg awe sio mrefu sana yaani si mrefu si mfupi anaejua kudekeza sio mwanaume kutwa ubabe hujui hata kumuhandle mtoto wa kike yeye kutwa anajibebisha na mtafutaji sihitaji mwanaume tajiri kwenye maisha yangu pesa tutatafuta wote[emoji39][emoji39][emoji39]

Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo kwangu nasifa hizo
 
we fuatilia ndoa nyingi za walokole uone ka zina amani.
Hahahahaha nimecheka kwa sauti! Zipo zenye amani na zisizo na amani.

Nilivyosoma comment yako nikamkumbuka mtu anayefit hapo thou mlokole. Lakini kaka unaweza kuoa ambaye hajaokoka...afu akaokoka ndoani...sa sijui utamuacha?

So usimdiss mtu kwa kuwa ameokoka wakati unapenda kuoa mke mcha Mungu. So oa tu hata mlokole maadam anafit kwenye vigezo vyako vingine
 
Back
Top Bottom