Unapenda mwanamke au mwanaume wa aina gani?

Unapenda mwanamke au mwanaume wa aina gani?

Mie wangu mpole mpaka naboreka,naongea kama chiriku naambulia ooh,kumbe au Sawa,kakujibu kirefu subiri kwanza. Ok,na kucheka Ndiko anakoweza yeye.
Tupo wengi unaongea peke yako wee unaishia kunyamaza kama gari lililoishiwa petrol wakati mwingine inaudhi ila mwanaume chiriku naye no hawachelewi kuongea siri za nyumbani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napenda mwanamke ninayemfaham vizuri.mambo mengine ni ziada kwangu.
 
Mie napenda mwanaume smart yaani awe na sura nzuri maji ya kunde na sio mweusi anaenukia mwenye kifua kilichotanuka kdg awe sio mrefu sana yaani si mrefu si mfupi anaejua kudekeza sio mwanaume kutwa ubabe hujui hata kumuhandle mtoto wa kike yeye kutwa anajibebisha na mtafutaji sihitaji mwanaume tajiri kwenye maisha yangu pesa tutatafuta wote[emoji39][emoji39][emoji39]

Sent using Jamii Forums mobile app
Wababe ndiyo wamejaa tele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom