Unapenda mwanamke au mwanaume wa aina gani?

Kwangu asiwe msomi sanaaaaaaaaaa yaani at least awe kaishia darasa la 7.......Maaana hao wasomi ni hatari sana huku mtaaaaaani
 
Me kiukwel kademu ninakokapenda,ni Kawe kadogo dogo hivi,afu kawe kacheshi,muda huo huo kawe kana shule ya kuanzia diploma kichwani mwake,afu sasa mungu awe amekajalia kachura kwa mbali na vinyonyo vidogodogo flani hvi,muda huo huo kawe kana rangi ya maji ya kunde,pia kawe kana adabu kwangu na kwa wananchi wengine,halafu kawe kacha mungu ila kasiwe kalokole,pia kawe kana aibu kwa mbali afu kawe na madeko deko ya kike.
Ebana demu mwenye sifa hzo hapo juu,huwa najikutaga nahonga mwenyewe pasipo shuruti.
 
Sipendi mwanamke mjuaji, mwanamke awe na kasura ka upole na kaaibu kwa mbali
Mwanamke mwenye sura ya tabasamu waga ndo nawapenda sana

Kwa upande wa mwili
awe amejaa miguu (pia mama yng yuko hvyo)
Tako liwepo lililo round, maana kuna wanawake wanatako kubwa lkn limekaa ovyoovyo2

Kwenye mawasiliano
Awe ni mtu wa kushangaa na kufrahia akiona ki2 cha ajab, sio anakuwa mkavu kama sanam

Sura kwangu sio kigezo kikubwa sana
But naamini mschana akiwa na hvyo vyote lazima atakuwa na sura iliojaa

Kifupi ni kuwa ukiwa na alieko hvyo utatulia
Nimetulia sahv[emoji4]

IQ standard
Njoo chukua gogo kwangu ukamchonge wa hivyo aisee maana hakuna namna nyingine
 
Me kiukwel kademu ninakokapenda,ni Kawe kadogo dogo hivi,afu kawe kacheshi,muda huo huo kawe kana shule ya kuanzia diploma kichwani mwake,afu sasa mungu awe amekajalia kachura kwa mbali na vinyonyo vidogodogo flani hvi,muda huo huo kawe kana rangi ya maji ya kunde,pia kawe kana adabu kwangu na kwa wananchi wengine,halafu kawe kacha mungu ila kasiwe kalokole,pia kawe kana aibu kwa mbali afu kawe na madeko deko ya kike.
Ebana demu mwenye sifa hzo hapo juu,huwa najikutaga nahonga mwenyewe pasipo shuruti.

"Kasiwe kalokole" mkuu umetisha
 
Mm napenda mwanaume mrefu handsome black kidogo na vijipesa viwili vitatu(like my husband wa ukweli alivo)
 
mie napenda men mpole! kwasababu mie charming tutaendana!
Mie wangu mpole mpaka naboreka,naongea kama chiriku naambulia ooh,kumbe au Sawa,kakujibu kirefu subiri kwanza. Ok,na kucheka Ndiko anakoweza yeye.
 
hahaha hata mimi#mr mbiti ni mpole yule a kuyoongea kbs! na aliniambia i like u unaongea utanichangamua.. naonana yy sasa hv anaongea ongea! mie wmanaume chiriku weka mbali na mm! najua ataniboaamapema ! na nikimuacha huwa sigeuki mwe!

ila wanaume wapole pasua kichwa wanakuwaga na VIBURI VYA UZIMA!... wahehe wanaita 'kidada' uwiiii utatoka povu yy kimyaaaa anakuangalia tu! huwa nataman kujining'iniza ukutan au kuweka tenti ualike majiran ulie nao!..mxiew!
 
Tukigomanbana sasa namtumia Sms namchamba ma Sms marefu marefu ananijibu tu Sawa mama,akiona kimya anajua nimemaliza atanambia mama sorry, tuyaongee kesho. Lakini Hata Mimi mwanaume muongeaji simpendi
 
hahha nakweli we unaonekana unajuakuchamba...mie sichambi siku hiz nakaa kimya... na mm nimejifunza ukimyawake najua anaumiaga akisema tu kulalamika namkumbushia! anakaa kimyaaa....lol!mshikilie tu huna namna! men chiriku mwepesi sana kupiga! naogopa na sipend unipige
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Yaani namuoneaga Acha tu
 
Back
Top Bottom