Unapenda mwanamke au mwanaume wa aina gani?

Unapenda mwanamke au mwanaume wa aina gani?

Me kiukwel kademu ninakokapenda,ni Kawe kadogo dogo hivi,afu kawe kacheshi,muda huo huo kawe kana shule ya kuanzia diploma kichwani mwake,afu sasa mungu awe amekajalia kachura kwa mbali na vinyonyo vidogodogo flani hvi,muda huo huo kawe kana rangi ya maji ya kunde,pia kawe kana adabu kwangu na kwa wananchi wengine,halafu kawe kacha mungu ila kasiwe kalokole,pia kawe kana aibu kwa mbali afu kawe na madeko deko ya kike.
Ebana demu mwenye sifa hzo hapo juu,huwa najikutaga nahonga mwenyewe pasipo shuruti.
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji7] u just defined me

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom