MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,085
hehehe cc;koplo advera
Usiwaharibie soko Kaka hapooo ishia hapohapooooyan nasemaje km kuolewa bora uolewe na men mheeh than mwanamke! unaweza UA! wanwake wa kihehe jaman wana viburi extra package jaman!... yqan ht km msomi lakini asili yake ni kiburi tu
Hao wako wapi natafuta mmoja wapo?
Niunganishe nae tafadhali.nenda love connect au refresh pg utaona nyuzi huu kibaoooo!changamkia mkuu fursa! kuna yule binti miss !
hebu fanya kukimbia
Haya bhanaaa yaaaan ngahamite kudaresalaam inokono kugaya Na varafikiii nda mweee khaaaa ndifwaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
mm napenda mwanamke mkorofi mbabe hapo tutaendana
Kumwanza beeeee. Ngahamye kono ikasi sa serikali isii beeehahahah ulikwiya nano! hahahah! wina luhulo veve mwagito be
Mbona haji?binti miss unaitwa huku!
Mie napenda mwanaume smart yaani awe na sura nzuri maji ya kunde na sio mweusi anaenukia mwenye kifua kilichotanuka kdg awe sio mrefu sana yaani si mrefu si mfupi anaejua kudekeza sio mwanaume kutwa ubabe hujui hata kumuhandle mtoto wa kike yeye kutwa anajibebisha na mtafutaji sihitaji mwanaume tajiri kwenye maisha yangu pesa tutatafuta wote[emoji39][emoji39][emoji39]
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mpendwa ninae tayari Mungu alieniandalia ndo tupo kwenye process za ndoa Mungu akijaalia yani raha tuyalah! Mungu akupe hitaj lako mwaya!