lazima ukae
JF-Expert Member
- May 15, 2013
- 791
- 417
KIla binadamu ana vigezo vyake linapokuja suala la kuchagua mwenza wa maisha. Wapo wanaume wanaopenda wanawake wenye makalio makubwa au maziwa makubwa na wapo wanaopenda wasichana wembamba n.k.
Binafsi siko intererested na wanawake wembamba (model), napendelea mwanamke mwenye mwili wa wastani ili kama kunenepa aje anenepee kwangu, ukiwa tukunyema kwangu huna nafasi. Suala la kuwa na chura ni moja kati ya vigezo vyangu ninavyotumia pindi ninapotafuta mwenza.
Hali kadhalika wanawake nao huwa wana vigezo vyao pindi wanapohitaji kuingia kwenye mahusiano ya kimapenzi. Wapo wanaopenda wanaume walefu, wapo ambao kipaumbele chao ni pesa, wapo wanaopenda wanaume wafupi ingawa ni asilimia chache sana n.k.
Funguka, wewe unapenda mpenzi wako awe na muonekano gani?