aah attention ntakosaje kuwa nayo kwa mtoto kama wewe halafu kwenye mapenzi asikuambie mtu kama mnaelewana penzi linakuwa tamu sana hadi rahayeah we mpole!
kigezo kingine kikubwa mwenzako ninataka attention kutokas kwa mpenzi... weng hawana... ehe
dada mbona waguna tena ???
aah attention ntakosaje kuwa nayo kwa mtoto kama wewe halafu kwenye mapenzi asikuambie mtu kama mnaelewana penzi linakuwa tamu sana hadi raha
Kama huyu niliyenae anatosha.....
si kweli ukiona hivyo hamkupendana ila kama mmependana kweli basi mtegemee kuwa watu wa furaha,huyo binti hapana mie nataka niliyemtongoza mwenyewe ilinipate changamoto
katongoza hapo ila hakuna raha,ingekuwa vyema awe kama siye tunavyokimbizana kama kuku na jogoohahha kwan yeye katongoza!yeye kaelezea atakavyoish na mumewe... very interesting
Wanao okoka ukubwani tena kwa ulimbukeni ndiyo wenye matatizo lakini wanaojielewa full kuombeana tena mme anamkumbusha leo huendi kanisani mke wangu!we fuatilia ndoa nyingi za walokole uone ka zina amani.
Napenda mwanamke mwenye haiba ya kike napo zungumzia haiba ya kike hapo nakusany sifa zote z kike. Ee mungu naomba unijalie MKE MWEMA
Sent using Jamii Forums mobile app