Unapenda mwanamke au mwanaume wa aina gani?

Napenda mwanamke mwenye macho ambayo akiniangalia tu naddsha si mwanamke mwenye macho kama mamba.
 
mkuu nakula jaman! hahahahaa nimekabwa hapaa hahhahhaahhahahaaahhahahhhhaahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahaaaaaaaaaahahahahhahhahah!!![HASHTAG]#mbiti[/HASHTAG] mie jaman nachekadah! maana mamba ana macho mabayaa!hhahahaahah we nimekushindwa tabia aisee
 
KWENYE MAUMBILE
1. ASIWE MWEUSI WALA MWEUPE
2. AWE MREFU WA WASTANI ILA ASIWE SHORTER
3. AWE NA CHURA HATA YA SAIZI YA KATI
4. AWE NA SURA YENYE MVUTO
5. AWE NA WAJIHI WA KIKE KWA 100% (MANA WADADA WENGNE WANA WAJIHI WA MWANAUME)
 
mkuu nakula jaman! hahahahaa nimekabwa hapaa hahhahhaahhahahaaahhahahhhhaahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahaaaaaaaaaahahahahhahhahah!!![HASHTAG]#mbiti[/HASHTAG] mie jaman nachekadah! maana mamba ana macho mabayaa!hhahahaahah we nimekushindwa tabia aisee
wewe unajua maana ya hilo jina yako????
 
Back
Top Bottom